Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,954
- 56,074
Tukutane msimu ujao mkuuVipi kazi ilikuwepo?
Tukutane msimu ujao mkuuVipi kazi ilikuwepo?
Kwahy ulikuwa unasubiri mshinde ndio uje kwenye comment yangu 😂 bahati yenu nzuriMnajisikiaje hapo London wote trophyless na jirani zako halafu wewe unacheza conference 😄
😁😁😁😁😁Tukutane msimu ujao mkuu
Naelewa mkuu maisha tunatofautiana 😎Mkuu unajua mimi nipo London toka juz nimesafiri live na wewe upo kidimbwi?🙄
Achana na maisha Manchester United tumeshinda 😁😁 leo nimekuweza maisha unasingizia tu , cha msingi tumenyanyua kwapa.Naelewa mkuu maisha tunatofautiana 😎
Hongereni.Trophyless fc
Sisi ndio mabigwa.El Capitano Bruno FernandesView attachment 2999317
Haha tukutane msimu ujao mkuuAchana na maisha Manchester United tumeshinda 😁😁 leo nimekuweza maisha unasingizia tu , cha msingi tumenyanyua kwapa.
Wewe ni timu gani kwanza😆😆 mkuu.Haha tukutane msimu ujao mkuu
Tuyaache hayo mkuu tufocus next seasonWewe ni timu gani kwanza😆😆 mkuu.
HelloLeo anakufa MTU Goli nyingi Man City ana hasira mbaya za kutaka kulibeba NDOO kiroho mbaya kwa HIO wadau wa Mwamtesa United KAENI mkao wa kipigo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] HENRY14 ni mtu wa maana kabisa, huyu jamaa soccer kwake anaichukulia kama burudani na sio uadui.Mdau hauna baya, sio kama hamis77