Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii ya muda kidogo ila acha tuiweke humu mjionee

1715091690276.png
 
Naendelea kusisitiza tafuteni kipa wa kueleweka
Mkuu, back line ina Casemiro kama no 5, jana kaweka record ya kuzungushwa mara 8 in a single game, ina evans anasogelea miaka 40, una Wan Bissaka hajui hata ku turn yeye ni ma kwanja tu, una Dalot leo mzuri kesho anakushangaza, mbele yao una Ericksen kanenepeana kama Mwijaku, unamlaumu Onana? Mpe Pep Onana na footwork yake uone mabalaa.

Kuna watu wa kulaumu kwanza kabla hujamfikia Onana.
 
Una maanisha, ukichukua average game ya dk 100 (ma dk ya nyongeza ni mengi siku hizi) Saliba anapitwa mara moja kwa mechi 5? VVD anapitwa mara moja kwa mechi 15? Ni shida aisee.

Ila Casemiro likuwa anaongoza ligi kwa kupitwa tangu akiwa kati, sasa wamempeleka beki. Huyu ndiye anakuja kukutana na akina Trossard na Saka? Akitoka Trossard anaingia Martinelli? Akitoka Kai anaingia Jesus? Itakuwaje sasa?
inahuzunusha kidogo asee. ila hatuna la kuwasaidia nyumbu wenyewe wana mdomo balaa
nasemaje.......wapigwe tu
 
Mkuu, back line ina Casemiro kama no 5, jana kaweka record ya kuzungushwa mara 8 in a single game, ina evans anasogelea miaka 40, una Wan Bissaka hajui hata ku turn yeye ni ma kwanja tu, una Dalot leo mzuri kesho anakushangaza, mbele yao una Ericksen kanenepeana kama Mwijaku, unamlaumu Onana? Mpe Pep Onana na footwork yake uone mabalaa.

Kuna watu wa kulaumu kwanza kabla hujamfikia Onana.
Goli la kwanza kipa serious anadaka ile ilikuwa poor positioning ya kipa

Goli la pili alitakiwa kum close down maleta yeye kabaki kwenye mstari. Hakuna kipa pale

Kuna msimu United walikuwa na defense mbovu lakini wakabebwa na De gea Onana ameshindwa ku step up tafuteni kipa wa kueleweka
 
sisi hatutafuti furaha bali furaha ndo inakuja yenyewe kwetu
kati aliyefungwa 4 bila na watoto, na aliyempiga mtoto huyohuyo goli za kutosha
nani mwenye huzuni hapo
sijui kama umenielewa kiongozi
Mkuu deep down mnajua ninachoongea.
 
Siku hizi mashabiki wa united tumekubali yaishe.
Ten Hag alitakiwa aseme mwenyewe kuwa anamwaga manyanga asisubiri kufukuzwa umbwa huyu.
 
Back
Top Bottom