Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,864
- 32,765
Frolentino Perez angalia kipindi Madrid ikiongpzwa na Ramon Calderon na baadae Vicente Beluda champions League ilitolewa 16 na 8 na Olympic Lyon mara mbili mfululizo na ilikuwa na wachezaji wa hovyo wengi sana.Naomba kwanza msaada wa kutajiwa walio nyuma ya mafanikio ya real madrid.
baadae niulize swali jengine
Aliporudi Perez 2009 alitumia madirisha matatu ya usajili akisajili wachezaji 8 plus kila dirisha mpaka kuipata Madrid bora ya Mourinho, Carlo Anceloti na Zizou.
Misimu hii miwili tena anasuka kikosi bila shaka atabeba tena UCL mfululizo akikamilisha project yake.
, mimi toka ile mechi ya mtoano 𝐂𝐚𝐫𝐚𝐛𝐚𝐨 𝐂𝐮𝐩 dhidi ya 𝐍𝐄𝐖𝐂𝐀𝐒𝐓𝐋𝐄 𝐔𝐍𝐈𝐓𝐄𝐃 tena ya 𝐯𝐢𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐯𝐲𝐚 𝐀𝐜𝐚𝐝𝐞𝐦𝐲 kututoa nishai watu wazima Pale pale Nyumbani 𝐎𝐋𝐃 𝐓𝐑𝐀𝐅𝐅𝐎𝐑𝐃 tena kwa Goli 𝟎 - 𝟑 nikawa nimesalimu amri.
.



