Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimeona tweet ya Rashford analalamika kuwa anafanyiwa abuse, hivi huyu jamaa angekuwa Vini Jr si na mpira angeacha kucheza?

Anakula 300k kwa week watu wanamcriticize apambane analia lia mitandaoni, jamaa anafurahisha sana.
 
Ila kiukweli UTD Academy ina watoto wanakuja fresh sana. Huyu Ethan Wheatley anaeza Shangaza ana Frame ya CF 6.3" kwa Miaka 18!! UTD wanaeza Okoa Pesa Mingi sana Pitia Academy.

Nilikuwa nawaza zaidi AMASS, BRAGIMOV, LACEY na FORSON ila kuna kikundi kinakuja kwa kasi na kinaeza Pita baadhi ya Majina tuliyozani kabla, WHEATLEY, NOLAN, ELYH, JACKSON.

Nina QUOTE zako kadhaa juu kuhusu kipi kati ya MWALIMU/STYLE na Uongozwaji wa MADRID hujatia Neno.
Moja wa madogo walioniuma sana kuondoka Kwake ni zidane iqbal.
 
😂😂😂😂

20240426_221411.jpg
 
Back
Top Bottom