Sijajua
Doto12 Kawaida unazungumzia inafananaje, lla Fergie amekuwa na aina Nyingi sana za Wachezaji ila alichokuwa anazingatia ni
Character na
Mentality ya Mchezaji
.
Umemzungumzia D.Gill ila huyu alipikwa na Peter Kenyon, Wakati Roman anainunua Chelsea moja ya Majina ya kwanza kuingia kwenye Timu ni
Kenyon.
Mourinho alipata Timu nzuri sana akiwa na Kenyon hapa ndo
KUKAZALIWA CHELSEA FANS WA KIBONGO!
Uongozi Mzuri wa kimichezo lazima utengeneze timu nzuri.
CITY Mafanikio yao yapo zaidi kwenye Timu ya Nyuma ya Pazia {PEP Kazi yake inakuwa Rahisi}. Kwa Kuanzia
Berrada, Ashworth, Wilcox, Ward ni Hatua nzuri.