Umeongea mengi. Nimekuelewa kwenye vibunda vinaingia.
Mzee FF alisema man united inakiwa kukufsnyiwa over...... na kuondoa wavhezaji wote. Nkajisemea hajui mchawi ni tajiri...
Tangiabzamani nilihisi grazer wametumwa kuishusha united.
Eti martial alikuwa PELE wao. Niliishia kutukana. Niliijua united miaka mingi I know ups and downs za kutosha.
Ukitaka anza kutafuta sabab ya kuondoka David Gill....
Tafuta kwa nn ferguson alikuwa na wachezaji wa kawaida sana? Ten hag kabla hajaingia united alifanya assessment akakuta nidhamu ya wachezaji ndio shida na ni kweli...akapambania na mimi namlaumu kwa kumuacha Dalot..Rushford...
Kwangu mimi kwa sasa pale united niondolee wachezaji kama watano tu.
...
- Rushford huyu anatembea uwanjani na hajali.
- Dalot anajituma ndio ila asiwe starter au aondoke
- Bissaka asiwe starter
- Mount aondoke.. sio aggressive kwa age yake alipaswa kuwa mkali na bora angebaki Fred
- Antony abaki ila awe subbed huyu anafaa unapotaka kubadili mfumo
- Martial aondoke
- Luke Shaw huyu aondoke..huwa namuamini mallasia kuliko yye mzigo
Hawa wenye colour waondoke.hata maguire anauwezo wa kupanda na kushuka.
waliobaki wanajituma. Kwa muda timu ikiwa inajijenga misimu mitatu inatosha kujenga upya.
mactonomay ni kiungo safi sana
maguire anafaa kusaidiana na bek