Bukayo Saka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 303
- 469
Na sasa atarudi kwao kuangalia mechi kwenye Tv huku akiendesha baiskeli huku akiliaSafari ya miezi 11 kwa baiskeli kutoka Mongolia mpaka london.
Kwa mujibu wa andy mitten
View attachment 2970133
Ni kweli mkuu, tukutane fainali ya maboksiHii mechi hata aina haja ya kuleta ubashiri hapa ni tukutane tu fainal hata kama tumeisha ila sio kwa hawa watoto.
Kibao kimegeuka na sasa nyie ndio mmekula 4 😂Hiyo ndiyo imeongeza hamasa sasa, maana inakuwa kama derby, watakula 4 au 5.
Inauma but itabidi mzoee 😂Aise huu mwaka wa tabu yani kote kote mambo ni magumu
Timu la kijinga kabisa hiliIla man u!
Msidhani nawatania. Moja tayari, bado mojaUzuri wa huyu kipa wa Coventry, ana historia ya kudaka penalty 2 kati ya 5 wakati wa matuta. Yani hata iweje huwa mbili ni lazima afiche.