Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,074
Chumaaaaa 3:3
Siamini hapa ujue. Kweli nyumbu ni nyumbuUnaongoza bao 3 nill eti sasa 3;3
ahaaHiyo ndiyo imeongeza hamasa sasa, maana inakuwa kama derby, watakula 4 au 5.
Dialo mtu..Dialo kaingia dakika ya 94 baada ya Rashford kuumia katupa nguvu mpyaTen Hag kuna muda unakosa hata cha kumtetea, hizi perfomance zake Rashford kila leo unabaki kushangaa anapata namba vipi na anacheza 90 zote day in day out
Punda kabisaHii mechi hata aina haja ya kuleta ubashiri hapa ni tukutane tu fainal hata kama tumeisha ila sio kwa hawa watoto.
Unasema?Hii mechi hata aina haja ya kuleta ubashiri hapa ni tukutane tu fainal hata kama tumeisha ila sio kwa hawa watoto.