Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,409
- 82,301
Imeniuma kama zile missed calls zako b...Sawa b..., asante sana. Na poleni kwa matokeo ya Azam. Ila ni matokeo ya kama simu ya kuwaamsha kwa mechi ya robo fainali.
Ova
Naumwaaaaa!
Imeniuma kama zile missed calls zako b...Sawa b..., asante sana. Na poleni kwa matokeo ya Azam. Ila ni matokeo ya kama simu ya kuwaamsha kwa mechi ya robo fainali.
Ova
Nyie na huyo B kuna namna, anywayImeniuma kama zile missed calls zako b...
Naumwaaaaa!
Asee😂Naomba kujua.
Dakika za mwisho Bruno alihamia kucheza namba ngapi
Mi sina roho mbaya...nazungumza ukweli tu....halafu Bora City achukue hili kombe..baba Ubaya akiliotea kwakwli atatutolea maneno ya shombo sana....sijui sura zetu tutaziweka wapi![]()


Halafu nzuri zaidi mkibahatika kumaliza msimu bila ya kombe lolote, sijui Masingeli na nyinyi chawa zake wewe pamoja na mkorea mtaziweka wapi sura zenu




Watasema wana community shieldHalafu nzuri zaidi mkibahatika kumaliza msimu bila ya kombe lolote, sijui Masingeli na nyinyi chawa zake wewe pamoja na mkorea mtaziweka wapi sura zenu
![]()
Sura zimeumbiwa haya, Masingeli atajipiga Ban halafu mkorea atajipa likizo ya muda mfupi ila wewe na hio sura yako ya kibandindu utakomaa humuhumu na kutuletea zile ngonjera za phase4![]()
Pole b..., kazi ya football ni kuleta furaha na maumivu. Huwa ni lazima vije.Imeniuma kama zile missed calls zako b...
Naumwaaaaa!
Watasema wana community shield


hainaga akili hii misukule, tena inaweza kukomaa mpaka misuli ya shingo inawatoka wakiaminishana kua lile sinia la wali ni kombe, wakati yale sio mashindano bali ni bonanza tu la ufunguzi wa ligi


Kwa hzi kelele...friends of Coventry tuna jambo letu siku hyo... Wembley mtaiona chunguhainaga akili hii misukule, tena inaweza kukomaa mpaka misuli ya shingo inawatoka wakiaminishana kua lile sinia la wali ni kombe, wakati yale sio mashindano bali ni bonanza tu la ufunguzi wa ligi
![]()
Duh hembu nipangie hawa wakiwa mabeki mbele ilikuaje.
Hapo mludishe Maguire nyuma toa EricksenDuh hembu nipangie hawa wakiwa mabeki mbele ilikuaje.
Rushford. Dialo mbele
Memorable one.
they stay fit for rest of seasonAlicheza 4Naomba kujua.
Dakika za mwisho Bruno alihamia kucheza namba ngapi