arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Katika siku ambayo nawaombea Dua njema ni leo...ila Sasa pale Rashidi Makame ndo kafanya kitu gani aiseeš¤ š¤Daaahhh Rashidiiiiiii
Katika siku ambayo nawaombea Dua njema ni leo...ila Sasa pale Rashidi Makame ndo kafanya kitu gani aiseeš¤ š¤Daaahhh Rashidiiiiiii
Daaahhhh ila sio mbaya, kwenye dakika 85 mpaka 90 tumempiga msako wa utatoa hutoi ila ndio hivyo kagoma kutugea.Katika siku ambayo nawaombea Dua njema ni leo...ila Sasa pale Rashidi Makame ndo kafanya kitu gani aisee![]()
Man U ina karaisha sanakuna raia anasema litarudishwa na mengine zaidi
kama vifungashioo 𤣠𤣠š¤£
Daaahhh Rashidiiiii unazinguaaaaa unakosaje goli la wazi hivyo![]()

afu una pewa taarifa Rashid kagoma kwenda PSG kenge hiiHiyo inaitwa goodbye and good riddanceMambo gani sasa haya? Kwa hiyo hamtaki Klopp asepe kwa furaha?
Siyo poa. Mbona Ferguson alisepa kwa furaha? Ni Wenger tu ndiye alisepa kwa huzuni.Hiyo inaitwa goodbye and good riddance
Kuna baadhi ya watu walikuwa wanapendekeza kama Klopp akitoka Liver aje Old TraffordSiyo poa. Mbona Ferguson alisepa kwa furaha? Ni Wenger tu ndiye alisepa kwa huzuni.
Hawa Manunu hawatachukua hili kombeš¤ š¤ ... officially Man City anabaki na kombe lake...Bora Livakuku wamechinjwa...maana shingo zilishazidi vichwa Hawa kukuSiyo poa. Mbona Ferguson alisepa kwa furaha? Ni Wenger tu ndiye alisepa kwa huzuni.