El Tiger
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 142
- 785
Nionyeshe mechi ambayo Arsenal kawaweka mabeki 5 kama mimi nilivyowaonyesha mabeki na mech
Hapa ni PEP dhidi ya ARTETA 4 3 3 dhidi ya 5 4 1,
Nilijua tunapiga stori za Mpira ila kumbe unafanya kubishana, Kuna nilichokiandika kuangalia Unafahamu kitu husika ama umeamua tu UBISHI, umekuja na Jibu la kuonyesha Unabishana! {Bielsa na PEP wamepoteza Games zote za 3 CB's!!}
Kwa team hiyo, uwezekano ni mkubwa zaidi kukutana na 3-4-3 au 4-3-3 kuliko 5-4-1
HENRY hapa ni ARTETA dhidi ya CHRIS, 3~4~3 Dhidi ya 3~5~2.
Hakuna asiyefahamu kuhusiana na haya Masuala ya Mifumo! Hiki kinazungumzwa HENRY14 kilitokea baada ya kusemwa kwamba Msimu wa Pili tu ARTETA alikuwa ameshapata Mfumo wake wa kucheza. {Hapo juu Tierney na Cedric wana Ubora Upi kati ya Kushambulia ama kuzuia, Ili Pima Mwenyewe}
Leo Hii mfumo rasmi wa ARTETA ni 4~3~3 ila inakuwa na Miundo Mingi sana kuanzia Build Up! Kupata timu nzuri inahitaji Watu sahihi nyuma ya Pazia {Arteta OUT Mpaka Piers Morgan alikuwamo leo Hii ni hadithi tofauti}
Imetumika nguvu kubwa {Tuna safari ila sio ndefu, Leo Hii ARTETA akiondoka mna sehemu ya kuanzia, Sisi ngoja tufanye GALACTICO'S Ya Uongozi kwanza}