Khamisi Mechi nimeweka hapo Juu ilikuwa ni Mechi ya 3 tu ya Msimu na ulikuwa ni Mwaka wa 3 Wa Arteta, Timu Imepanga mabeki 5 na mfumo ni 5~4~1. {Style ya Kucheza ndo Hiyo ama Ipi?}
Castr City hachezi na Mabeki 5 kwa kutetea Hoja ya Arteta, na kimakaratasi timu yake huwa inacheza 3~2~4~1, Huu mfumo ni rahisi kubadilika kuwa 4~4~2 ama 4~1~4~1 akiwa anazuia.
Ben White anaweza kuwa moja ya watu walofanya Mapinduzi kimya kimya kwenye Hili miaka ya Karibuni, Huu mfumo PEP amecopy Leeds ya Bielsa 3~3~1~3 Alichobadilisha PEP ni kwamba CITY yake Haifanyi Press kama ya Bielsa na Wachezaji wake wana Ubora mkubwa hawana Mwendo, Transition timu zinasumbua CITY mana wanakuwa wachache na ndo ilipelekea LEEDS Kufunga nyingi na kufungwa nyingi. {City ana Stones Badala ya Ben White na PEP aliamua Mchukua
Philipps ila ameishia kuwa FLOP.