Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sema nafurahi sana nikiona Utd fans wanateseka na team yao, they deserve every inch of the struggle they're going through.
Masingeli banaaa sometimes unazi wako hua unakuponza sana halafu mwisho wa msimu wewe ndie unapitia kipindi kigumu kuliko shabiki yoyote wa soka humu jukwaani.
Wakati unacheka na kufurahia Utd fans wanavyoteseka na timu yao msikilize Arsenyau mwenzio kuna muda akili hua zinamkaa sawa na kuona hali halisi ya mambo inavyokua mwisho wa msimu
1708323319479.jpg
 
Masingeli banaaa sometimes unazi wako hua unakuponza sana halafu mwisho wa msimu wewe ndie unapitia kipindi kigumu kuliko shabiki yoyote wa soka humu jukwaani.
Wakati unacheka na kufurahia Utd fans wanavyoteseka na timu yao msikilize Arsenyau mwenzio kuna muda akili hua zinamkaa sawa na kuona hali halisi ya mambo inavyokua mwisho wa msimuView attachment 2925791
Napenda tu mteseke ,napenda ETH apewe miaka mitano zaidi

Napenda kuona mkicheza hata na kina Luton mnapelekewa moto

Everton keshokutwa watawapelekea moto sana

Ni Raha kama kufika kileleni kuona manjesta wanapigwa msako huku pembeni na maji makubwa ya Kilimanjaro na popcorn
 
Masingeli banaaa sometimes unazi wako hua unakuponza sana halafu mwisho wa msimu wewe ndie unapitia kipindi kigumu kuliko shabiki yoyote wa soka humu jukwaani.
Wakati unacheka na kufurahia Utd fans wanavyoteseka na timu yao msikilize Arsenyau mwenzio kuna muda akili hua zinamkaa sawa na kuona hali halisi ya mambo inavyokua mwisho wa msimuView attachment 2925791
Napenda tu mteseke ,napenda ETH apewe miaka mitano zaidi

Napenda kuona mkicheza hata na kina Luton mnapelekewa moto

Everton keshokutwa watawapelekea moto sana

Ni Raha kama kufika kileleni kuona manjesta wanapigwa msako huku pembeni na maji makubwa ya Kilimanjaro na popcorn pemben
 
Ukitumia akili, utaona jinsi bila majeruhi tunakuwa vizuri na % za kushinda + possession zote zinakuwa juu.
Hiyo style of playing mbona baldman ETH anayo ni transition football.
angalia game na Barcelona last season, tulikuwa na uhakika wa kushinda
Kocha squad inamuangusha, na forward ya rashford mweny kukosa nafasi nying ni mbaya kwa mpira wa transition.
Klopp pia anatumia huu mfumo, lkn yeye alikuwa na Salah, mane lkn pia alitumia muda kujenga
Huu mfumo wa ETH ni mgumu na mzuri sana hasa ukistick vzr

Trust the process, sisi hatuna squad na kama kukosea kweny usajili ETH sio wa kwanza kukosea.
 
"Transition football" aka "pira vizia" aka "pira janja janja".

Ni kweli kwamba mkifungwa sisi wapinzani tunayakuza matatizo yenu yaonekane makubwa mara ishirini kuliko uhalisia. Ila tunapenda sana mpigwe mpaka basi.

Injuries za akina nani zinawaharibia msimu?

Kuhusu kukosea kusajili naamini kila timu inapitia hilo maana huwezi jua wachezaji wengine watamudu vipi mazingira mapya. Alexis Sanchez alikuwa superstar kwetu lakini kwenu alikuwa flop. Arteta ameleta wachezaji wapya 26 kwetu toka aje. Kuna wengine hawapo tena Arsenal: kina Willian, Pablo Mari, Mat Ryan, Alex Runarsson, Trusty, Taveres, Lokonga, Marquinhos...iwe kwa kuuzwa au kwa mkopo.

Wanne kati ya hao 26 ni makipa, wawili kawaondoa tayari. Zaidi na nusu au robo tatu ni midfielders na mabeki, kuonyesha alikuwa na plan ya kuimarisha ulinzinzi na huku akiwa na plan ya "build-up from the back" hivyo mabeki na kipa "wawe vizuri na mpira mguuni" kuweza kuchomoka kwa timu zinazokabia juu.

Wachezaji aliowaleta karibia wote waliobaki mpaka sasa ni "first eleven quality" kwake. Inawezekana Ten Hag hajafika hapo ila huu ni mwaka wake wa pili. Arteta ametumia miaka minne, karibia mitano, kufika hapo alipo.

Tumpeni Ten Hag muda. Cha muhimu ni muendelee kuwa vibonde wetu 😃😄
 
Mwaka

Mwaka wa kwanza akawaletea Anthony Masebene na mzee Casemiro mara Eriksen mara Babu Evans🤠🤠🤠...hapana...hyu ameshaonesha dalili mbaya...ni mpiga dili na Hana uchungu na fedha za klabu....ila nafuu kwetu wapinzani maana huwa ana maneno ya changamsha genge na majigambo kwlikwli wakati uwanjani hakuna anacho deliver
 
Tumvumilie tu kwanza mkuu. Hata sisi Arteta alianza kwa kutuletea mabomu kama kina Willian, Runarson, Cedric. Akapatia kwa Odegaard, Partey.

Uzuri wa Arteta ni amejitahidi kuondoa wasiotusaidia. Aubameyang alikuwa top scorer wetu, mmoja kati ya strikers bora kabisa kwenye ligi ila alivyomuonyesha tu kuwa hana tena ule usongo, Arteta na kina Edu wakajitahidi kumtoa, na hapo tumetoka kumpa mkataba mpya na hata miezi 6 haijaisha nadhani.

Wachezaji wa Wenger Arteta aliojitahidi kubaki nao ni Elneny na Xhaka. Xhaka kwa sababu za kimpira zaidi ila Elneny naamini ni sababu za kibinadamu zaidi. Kina Maitland-Niles, Rob Holding amekaa nao muda ila mwishowe aliwaachia waende. Sasa ni kama asilimia kubwa ya wachezaji ni wake.

Huku wanasema pia Ten Hag ana kikosi kikubwa cha kurithi. Ni sawa maana kuna wachezaji wazuri lazima abaki nao kama Bruno na Rashford ila tuone baada ya miaka minne na huu uwekezaji wa Ratcliffe jamaa atakuwa ameifikisha wapi United.
 
Injuries zetu ni key players kama martinez, shaw, varane, casemiro, mount, hojlund.
Bila wasiwasi kocha style of playing anayo.
Na hii style inataka rashford awe backup sio starter, garnacho awe backup na sio starter.
Yaani transition football ukiw na rashford, garnacho, kiungo ya wazee na beki mbovu ni ngumu kutoboa.
Akisajili huu mfumo mtauona na mtaogopa
 
Mm nikiangalia Liverpool na 90% ya wachezaji wake muhimu WAKO majeruhi na tunaona mpira unaopigwa ndo naamini hatuna kocha man u
Wale Copenhagen Jana kama ulicheck game yao dhidi ya city ingawa walipigwa 3-1 kama sisi ila hawakucheza kinyonge mpira unaona kabsa una njia zake Sasa uyu 🤣 boya ten Haag kashakmbilia kichaka Cha majeruhi kila siku I think we played much better mara nilimchezesha rashford majeruh, aisee labda mm sioni Wala sijui mpira ila kiukwel Sir Jim Ratcliffe aanza na kocha wake mpya tu waanze upya huyu ten Haag miyeyusho
 
No Bielsa alikua na 3 3 3 1

Pep aliiga kama ilivyo akapasuka

Kamodify kua hivyo.

Hesabu hapo City alikua na mabeki wangapi uwanjani.

Nionyeshe wachezaji wa Arteta waliokaa kama hivyo.

View attachment 2925584
Sijajua unazungumzia ARTETA kwenye lipi ila hapo nimezungumzia PEP Kumcopy Bielsa. Nimeshakuonyesha Juu hapo ARTETA akiwa na BACK 5 dhidi ya CITY.
3 3 3 1 Ya Bielsa unaizungumzia hajaitumia sana baada ya Msimu wa kwanza na Leeds {Tafuta TAKE US HOME: LEEDS} Yeye alikuwa ndo anataabika nayo akaanza tumia 4~1~4~1
screencapture-fotmob-matches-charlton-athletic-vs-leeds-united-2d68qi-2024-03-06-21_59_02.png

PEP Hakuna alichoongeza zaidi ya kutumia Wachezaji wenye Ubora kwenye 3~2~4~1. Hii ni Game ya Mwisho kabisa ya Msimu wanapanda 2020, PEP Mara ya kwanza anapanga timu namna hiyo ni Game na Chelsea Stamford Bridge 2023 na anamtumia B.Silva na Rodri na ndo anaenda nao Game ngumu zote mpaka anachukua Treble.

Fergie alimnunua Heinze kama CB akija yeye na kina Rooney na Pique, Bielsa alienda na Argentina Olimpiki na akawa anamtumia Heinze kama LCB, Mascherano anailinda Mabeki watatu wakishambuliwa anarudi yeye halafu anamwancha Fundi LUCHO katikati Shape inabadilika na kuwa 4~1~4~1, TEVEZ mbele anabaki mwenyewe, Mpaka wanakuwa Mabigwa wa GOLD!

HEINZE kuja kuanza UTD akawa ndo LB chaguo la kwanza, japokuwa tulikuwaga na Rio na Oshea kama Pacha na yeye alisajiliwa kama CB , Matumizi yake kwa Bielsa Olimpiki yakaongeza Faida namna ameenda tumika UTD, Shida alipokuja pata ACL kurudi UTD wamesajili Evra na Nemanja.

LEEDS Captain wao Pontus Jansson alihama waliposhindwa Panda ligi kuu akaenda Brentford {Hiyo Documentary TAKE US HOME kama Umeiona Poa kama Hujaiona we Mtu Boli Ukipata Muda ifurahie} Wanamchukua BEN WHITE na anakuja mfanya Bielsa kuboresha 3~2~4~1 ambao PEP anatamba nao leo. BIELSA huko kwao wanamwita El Loco "Mwendawazimu" Sio kwa Bahati Mbaya Yule ni zaidi ya "GENIUS" Kwa Hiyo kina PEP kumuiga Isikushtue.
 
Injuries zetu ni key players kama martinez, shaw, varane, casemiro, mount, hojlund.
Bila wasiwasi kocha style of playing anayo.
Na hii style inataka rashford awe backup sio starter, garnacho awe backup na sio starter.
Yaani transition football ukiw na rashford, garnacho, kiungo ya wazee na beki mbovu ni ngumu kutoboa.
Akisajili huu mfumo mtauona na mtaogopa
Nimekuelewa. Pia nimefanya kiutafiti changu mwenyewe kigogo ili kulinganisha usemacho na wengine wanasemaje (youtube 😃😃) na kuona mnafanana kimtazamo.

Key player wenu asiyekuwepo ambaye anawapa zaidi ya mbadala wake hapo naona ni Martinez. Sijui nimuweke na Mount pia ila hao wengine siwezi kuwahesabia kama kukosekana kwao kumewaharibia, huenda hata ndiyo wamesaidia 1😄😄.

Umezungumzia kiungo ya wazee na kweli statisitics zinasema Casemiro ndiye anaongoza kwa kuchengwa. Bruno yupo juu hapa pia. Nadhani mmeshinda 8/10 ya mechi zenu kama sikosei, hicho ndicho Ten Hag anachotaka.

Hii transition style yenu inatumia low defensive line na high attacking line, midfield ipo katikati na inaacha gap kati ya mid na attack na pia kati ya mid na defense na hizo spaces zinatumika na kila timu kuwaadhibu. Ila, mnaongoza, pamoja na Liverpool kwa kuhamisha mpira kutoka nyuma hadi mbele na kupelekea kufunga magoli ya hivyo. Pass 5 kutoka kwa beki mpaka kwa striker.

Mkipata Defensive midfielder mmoja mzuri na box to box mmoja mzuri, au hata box to box wawili wazuri wenye pumzi, mbio na uwezo wa kukaba, mtakuwa mmetatua zaidi ya 70% ya tatizo.
 
Back
Top Bottom