Manara: Watoto wazuri wanazaliwa kila siku, Nitaoa ila lazima nifanye upembuzi yakinifu,

Manara: Watoto wazuri wanazaliwa kila siku, Nitaoa ila lazima nifanye upembuzi yakinifu,

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Wakuu naona Manara hajakatia tamaa bado suala la ndoa, amedai watoto wazuri wanazaliwa kila siku anaachaje kuoa kwa mfano

Manara naona unapost sana hapa JF, embu punguza kasi kidogo

20251117_162025.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Uzuri hapa duniani hata uweje lazima utapata wa kifanana nae..

Twende mbele turudi nyuma; jamaa ameikwepa dhambi ya uasherati. Kila la kheri manara
 
Hizo zilipendwa watanzania wa sasa sio wajinga kama mnavyodhani
 
Nikikumbuka mwamba alishawahi kupangishiwa nyumba pale Ilala flats. Watu wakawa wanaruka tu
 
Wakuu naona Manara hajakatia tamaa bado suala la ndoa, amedai watoto wazuri wanazaliwa kila siku anaachaje kuoa kwa mfano

View attachment 3504339
Watoto wazuri wanaumbwa kwa ajili ya matoleo ya kila vizazi.

Haiwezekani mtoto mzuri azaliwe leo uje kumuoa wewe Manara!

Tafuta wa makamo yako atakutuliza, lakini kuendelea kuwaza na kuparamia vitoto size ya mjukuu wako, vitaendelea kukudhalilisha bila kujali una ukwasi kiasi gani.

Naona hauwezi kujifunza kutokana na makosa.
 
Umemjibu vizuri mtu mzima hovyo, watoto wazaliwe leo kwaajili yake?

Anatuambia kuwa akipita mtaani anawatamani tamani watoto wetu? Pedo..
 
Back
Top Bottom