Hapo Manara apate washauri wazuriWakeze wamesengenywa
Shida anajiona born town yani anajiona anajua kila kitu...huwezi kumsema boss wako mambo ya ndani ya mkewe...any way huwa tunasema umbea hapa na pale hata sisi ila yy alikua na watu zaidi ya 10 anayamwaga maneno....Hapo Manara apate washauri wazuri
Wanampaga bichwaa....hawamwambii ukweliKabisa....Ni kama ana shida ambayo hata yeye mwenyewe haijui...
Huwa nashangaa hata watu wa karibu yake wanaishi naye vipi...
Kwanza ule mdomo....kuongea ongea ovyo Mwanaume na umri ule hapana aisee..
UNaogopa ban!? Wewe mgeni humuUsinitafutie ban
Wewe kinyago huna tusi jipya la kutukana la kunikimbiza jukwaani. Huna.Najua nikikujibu hayo matusi nA kejeli zako
Utakimbiwa jukwaa na mi nitapigwa ban
Jongoo halipandi mtungi.Kamaanisha mzee mzima ni apeche alolo...
Hatari sanaNimetumia tasfida...
Mzee yuko hoiii
Nyie mabwabwa shobo zikiwapanda Huwa mnajua kila mtu yupo interested na uchafu wenuUNaogopa ban!? Wewe mgeni humu
Wewe kinyago huna tusi jipya la kutukana la kunikimbiza jukwaani. Huna.
Itakuwa walimsumbua sana kipindi hana kituPamoja na yote huyu jamaa anawatia sana wanawake
Kwenye swala la dini ya kiislam achana na Mwijaku kabisa. Jamaa amekariri quran Kwa ustadi na kuimba qaswida balaa.Miaka 50 na Mwijaku 40 hawajielewi kabisa .Mtu angetulia hata kuona watoto wake wakubwa na wanafuatilia mitandao ila anafanya mambo ya hovyo kila siku ..Manara ana matatizo ni vile watu waungwana anaweza kusingizia ile hali yake ..Yule ni mtu mzima hata Diamond utoto unapungua mpaka miaka 50 atakuwa safi ,Manara mkubwa ila hajielwi yaani ..Hiyo dini kasoma bure , eti wanampa nafasi na uongozi huko misikitini .
Na Mwijaku hao ni waislamu wanafiki .
Kukariri kwani manara hajakariri,Sisi tunaongelea kuyaishi hayo waliyoyaongeaKwenye swala la dini ya kiislam achana na Mwijaku kabisa. Jamaa amekariri quran Kwa ustadi na kuimba qaswida balaa.
Nyau de adriz
Aaahhhh ahahahahah mkuu, kuna dalili naziona na kuangukiwa na kila kadhaa za upendo sio muda ,ni mimi tu nazuia hii mvua ya makopa isinishukie kwasasaMwanamke mkipata mtoto fahamu kuwa atakaa mbali na wewe for a while Ila she will back to you
Ahahahaha.Watoto ni bond kubwa Sana Mkuu huto Manara hao wake zake wanamchuchua kwakuwa hakuzaa nao
Wenzako wanapenda drama kama hizi, kwao ni fursa na amini kuna watu wanapiga pesa kwa ubuyu na chai kama hiziMmh maisha ni safari asee yakikuendea kombo unaweza ona Dunia mbaya
Nchi hii ina safar ndefu sana kufikia ukombozi wa kwel kwa aina ya wananch na wasomi waliopo sasaMjini wanapenda sana ubuyu na chai kama hizi, kwa moto leo