Manara limemkuta jambo

Manara limemkuta jambo

Tena mnoo, jitu kutwaa kusumbua wachezaji wamkazee, mara walifokoe na Dole kunako ndo aamshe mlingoti.

Kabwiliiii popote ulipoo njoo uone mambo yameanza kujipaa, nlisema mie iko siku watalipia. Bado yule shost mlemavu wa mashavu. 😂😂😂😂😂
Mimi nilikuwa najiuliza huyu baba kwa nini kila Mwanamke anaye achana nae anamuacha kwa dharau mno kama sio mtu anaye jishuhulisha vizuri kitandani leo nimepata jawabu kifupi,Mzee kitandani hayupo vizuri 😁
 
Mimi nilikuwa najiuliza huyu baba kwa nini kila Mwanamke anaye achana nae anamuacha kwa dharau mno kama sio mtu anaye jishuhulisha vizuri kitandani leo nimepata jawabu kifupi,Mzee kitandani hayupo vizuri 😁
Huyu anaoa ili kuonesha watu yuko vizuri, kumbe ndo anajichoresha zaidi, bora mapungufu yake abaki nayo ye mwenyewe.
😂😂😂😂😂
 
Kabisa....Ni kama ana shida ambayo hata yeye mwenyewe haijui...
Huwa nashangaa hata watu wa karibu yake wanaishi naye vipi...
Kwanza ule mdomo....kuongea ongea ovyo Mwanaume na umri ule hapana aisee..
😂😂😂😂
 
Sanaa..alijiona yeye ndo kaowa...siee hizi ndoa za mitandaoni zisikupe presha kabisaa wewe pambana na huba lako nyumbani...ni uongoo uongoo drama na kutafuta views...
Leo mpaka azimie Manara natamani kumtag aje hapa ila nikikumbuka kaka hana dogo nabaki nimejikunyata
 
UNaogopa ban!? Wewe mgeni humu bila shaka. Ukiishii jumba la vioo usilete ugomvi wa mawe.
Najua nikikujibu hayo matusi nA kejeli zako
Utakimbiwa jukwaa na mi nitapigwa ban
 
Back
Top Bottom