Manara limemkuta jambo

Manara limemkuta jambo

Huko mitandaoni kona za Instagram kumechafuka habari kubwa ni kumuhusu Manara....
Kwa sasa wadau wanasema lile jina lake la semaji halimfai bali aitwe Sengenyaji kwa sbb ya tabia zake za kusengenya watu mpaka wa karibu yake na wanaomuweka mjini....

Manara inasemekana voice notes zake zimemfikia mmbea wa Taifa Mange Kimambi na kuziachia huko kunako App
Kwamba Manara anamsema Tajiri wake GSM,mdogo wa gsm Salah,wake wa gsm,All Kiba, Irene uwoya ...nk

Sasa Manara bana hiyo kesi ya aliedukua hizo voice note anasema ni mtalaka wake wa juzi Zaiylisa...na mtalaka wake kamchambaa kamwambia angekua anataka kumdhalilisha mbona hizo voice note ni cha mtoto? Maana ana makubwa zaidi ya hizo..
View attachment 3321691View attachment 3321692View attachment 3321693View attachment 3321694View attachment 3321695View attachment 3321696View attachment 3321697View attachment 3321698
Kilichonishangaza kumbe hata mashabiki wa Yanga kuna wengine hawampendi baba wa watu kama huyu anajiitaga last born wa Yanga Kevoo na yy anacomment eti amefurahi
View attachment 3321700

Cha kumshauri huyu baba umri umeenda aache drama za mitandoni...akae atulie shida kuna watu wana mpaga bichwa...ila atakuja adhalilishwe zaidi...ndo shida ya kuoa wadada wa mjini...
Ukiona mwanaume anabishana na mwanamke namna hii tena public hivi huyo hana akili
 
Ilibidi nichimbe zaidi kujua kwann suala km hili litokee?,kumbe Manara anlimtumia diamond kumfungulia kesi Mange kimambi huko US,dada anakuambia lipoteza karibia dola elfu 10,kwenye kesi tu,dada aliapa kulasahani moja nao,ndio maana Mange hakuwaza mara 2 alipopata hizo click na siwezi shangaa yeye Mangi ndio ametuma watu wafanye hivyo,kweli muosha huoshwa
Hatarii na mm nimeona kwa Mange...duuh yani Dai anapelekeshwa na manara kama zuzu...na kesi yenyewe wakashindwa sijui wakaikimbia
 
Ila Manara nae atakua ni tatizo, haiwezekani kila mwanamke anaeoa anaachana nae na wanatoka wakilalamika. Huyo Cheupe ana matatizo makubwa na angekua anajitambua sasa hivi angetulia tu, na asioe tena maana ana watoto wakubwa na umri ndio dakika za majeruhi hizi.
 
Back
Top Bottom