Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,325
- 62,204
Mi nilishasema huyu jamaa hafai kuwa rafiki, Manara ni mtu flan mnafiki sana akiwa rafiki yako leo kesho mkipishana nae kidogo ujue atakushambulia kupitia mambo yako binafsi, hayo alimfanyia hata Mo dewj baada ya kufukuzwa simba alimsimanga sana Mo sasa ukiona mtu anatabia hizo kaa nae mbali
Ndo maana kwenye hili namkubali sana Hersi , Hersi amekataa kabisa ushkaji na Manara mapema tu maana anajua ni mnafki, Manara anajitahidi kujisogeza kwa Hersi ila kadri anavyojisogeza ndo Hersi anazidi kukaa nae mbali.
Kina Gsm wanaomkumbatia kaanza kuwavua nguo.
Ukiwa na mdomo mdomo kama manara maisha yako yataishia pabaya sana kila siku utakua mtu wa kuomba radhi na watu hawatakuamini tena.