Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
Aloo 🙌... basi yaendelee tu kumkutaSio mambo yake vipi? Ndo kazi yake hyo analewa mno na kuvuta labda alikua tayari kashafanya mambo
Na badoo
Aloo 🙌... basi yaendelee tu kumkutaSio mambo yake vipi? Ndo kazi yake hyo analewa mno na kuvuta labda alikua tayari kashafanya mambo
Nilicheka eti ulikua hauna Nida..what the hell is Nida....bora passport unaweza msimangia mtu na si kihivyo kwa sbb unaweza kuitafuta na kuipataExactly 100 nae zungu angepumzika nae kumtafutia yule bidada number za nida ndio ana msimanga lol sie wanaume tuna dhambi mno 😃😀😀
Zungu miyeyusho sana afu mkorofi mno aliwahi kugombana na wahudumu wa VIBE LOUNGE & VELVET NIGHT CLUB Sinza Africa sana pale siku ile nilicheka sana😃😀😀😀Nilicheka eti ulikua hauna Nida..what the hell is Nida....bora passport unaweza msimangia mtu na si kihivyo kwa sbb unaweza kuitafuta na kuipata
Kuna siku kulikua na mechi ya Simba na dodoma jiji enzi zile msemaji wa Simba sasa mimi nilikua zangu hapo hotel ya African dream usiku usiku hivi na yeye akawepo nikawa namuona yupo busy na simu yake nadhani walikorofishana na wenzie wa Simba maana alikua peke yake ana jazba tuu kwa kumwangalia anaangalia post na kufyonya..nikasema mhh huyu mtu sijui kwakweli...Zungu miyeyusho sana afu mkorofi mno aliwahi kugombana na wahudumu wa VIBE LOUNGE & VELVET NIGHT CLUB Sinza Africa sana pale siku ile nilicheka sana😃😀😀😀
Ni mkorofi sana yule jamaaKuna siku kulikua na mechi ya Simba na dodoma jiji enzi zile msemaji wa Simba sasa mimi nilikua zangu hapo hotel ya African dream usiku usiku hivi na yeye akawepo nikawa namuona yupo busy na simu yake nadhani walikorofishana na wenzie wa Simba maana alikua peke yake ana jazba tuu kwa kumwangalia anaangalia post na kufyonya..nikasema mhh huyu mtu sijui kwakweli...
Ni fala sana shoga Beira Boy , naona ana force nimuoe. I guarantee he is 20's like most fools humuHajui uliyoyapitia huku JF ni kama sehemu ya kupunguzia mzigo wa mawazo na uchungu kidogo...
Unajua ukristo na ndoa zake ni taasisi imara sanaKwanini sasa Beira boy
Si uliona aliyoyapitia? Kwani hujasoma biblia? Dhambi ya uzinzi inakupa haki ya kuachana na mke au mumeoUnajua ukristo na ndoa zake ni taasisi imara sana
Mara ghafla anatokea mnywa konyagi mmoja anadhalilisha sacrament takatifu ya NDOA kwa ujinga wake
Mathayo 7:6 ina sema msiwatupie mbwa Lulu zenu wasije wakazinyaga na nguruwe kuziraluaSi uliona aliyoyapitia? Kwani hujasoma biblia? Dhambi ya uzinzi inakupa haki ya kuachana na mke au mumeo
Sawa. Ngoja siku nije kumuoa mama yako labda utapata heshima kidogoMathayo 7:6 ina sema msiwatupie mbwa Lulu zenu wasije wakazinyaga na nguruwe kuziralua
Kanisa lilimtupia huyu nguruwe lulu ya NDOA