Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,903
- 9,915
Nalipa kwa nani mkuu? Uanzishwe utaratibu wa kutoa membership cards kama CHAPUTAdah bro si ulipie hata membership Sasaš
Nalipa kwa nani mkuu? Uanzishwe utaratibu wa kutoa membership cards kama CHAPUTAdah bro si ulipie hata membership Sasaš
Na hyo habari ya Manara kailipia pesa ndefu mpk kuipata...Mange kimambi ni takataka Kama livyo ccm
Aslay alilecord clip akamuuzia mange kwa mil 2
Gigy money vile vile aliuza kwa mil 2
Kuna upumbavu mkubwa kwa hawa wanaitwa wambea .
Na hyo habari ya Manara kailipia pesa ndefu mpk kuipata...
Ni hivi mtu anaenda inbox anamwambia nina mzigo wa mtu fulani exclusive...nkupe unipe mshiko...Mange anauthaminisha kama utampa returns kubwa anampa na yeye hela kubwa...
Kwahyo watu wawe makini mnoo siku hz na simu zao na watu waliokaribu nao wakati wanafanya mambo ya hovyo
BUhahahahha 𤣠𤣠𤣠𤣠𤣠mbona na mm ni mke wa mtu sema sio mara nyingi kuleta umbea humu.Huyo kaolewa kaacha mdomo na kufatilia umbea hata wewe ukiolewa utaacha
ZainabYupi huyo??
Umenifanya nicheke eeeh haya bana, šHaya ndo mambo wanawake mnaweza kuyafanya kwa usahihi
Chama cha mawinga TzKidumu chama Cha ma jobless pro max
Miaka 50 na Mwijaku 40 hawajielewi kabisa .Mtu angetulia hata kuona watoto wake wakubwa na wanafuatilia mitandao ila anafanya mambo ya hovyo kila siku ..Manara ana matatizo ni vile watu waungwana anaweza kusingizia ile hali yake ..Yule ni mtu mzima hata Diamond utoto unapungua mpaka miaka 50 atakuwa safi ,Manara mkubwa ila hajielwi yaani ..Hiyo dini kasoma bure , eti wanampa nafasi na uongozi huko misikitini .Nilimshangaaa sana aliwaita jina la ajabu...sema ana mdomo sana huyu sijui anadhani hawezi fanywa lolote...
Tena wanawake wa viwango kabisa!!Pamoja na yote huyu jamaa anawatia sana wanawake