Manabii wasifumbiwe macho wanapotukana mamlaka

Kwa hio wewe ni nani wakutuaminisha kua huyu ni nabii wa uongo au huyu ni wa kweli?!!
Lkn nakwambia hakuna mtumishi wa Mungu wa kweli aliyeyaona maovu hata yawe ya serikali na akayakalia kimya,soma kisa cha nabii samweli alipokua akizikosoa serkali za wafalme.
Ujue hakuna nabii wa uongo anaependa kufa kwa kusema kweli.kweli na isemwe maana humweka mtu huru.
 
Ukiona kiongozi wa dini anasifia serikali ujue ana mapungufu yake...na hakuna serikali inayopenda watumishi wa Mungu....serikali zote ulimwenguni zinatenda mauvi na ziko against na matakwa ya kimungu tatizo zinatofautiana kwa viwango vya uovu...!! Hata yesu alisurubishwa baada ya kuwambia watawala hawana mamlaka juu yake... Ndio wakajiona kama wanadhalilika na kutaka kuonesha wana mamlaka juu yake!! Pamoja na mapungufu walionayo viongozi wetu wa dini pale wanapoionya serikali lazima isikie... Kinyume chake itashupaaa na ni dalili ya idikteta unaopelekea viongozi kujaa viburi na kuvimba
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
mag anatakiwa kwanza atubu kwa kutoa fungu la pesa kuwatuma akina bashite wamfuate na kumuua lisu dodoma.wauaji walitumia pesa za wananchi posho na mafuta kutekeleza mauaji
 
Ninyi ndio utasikia kazi ya pastor ni kuhubiri injili na sio siasa,unapotoka maana hakuna jipya baya lifanyikalo ambalo halijaandikw ktk biblia. Na dhambi sio ipo tu kwenye mambo mengine hata katika siasa ndio maana mhubiri hana mipaka.
 
Sawa tumekusikia japo huna hoja. Sasa nje ya mada, wewe ni kada wa ccm na mwenyekiti wako ambayo ni rais wetu ana ajenda ya Tanzania ya viwanda. Hapa jukwaaani kuna uzi unahoji Tanzania ya viwanda ni nini kifanyike ili kufikia huko. Nimejaribu kuangalia sijaona wazo lolote toka kwa vijana wa ccm. Ni vyema mkaenda kule maana ni sera ya serekali yenu mkaeleze njia ya kufikia kule. Ni jambo la aibu nyie kushindwa kuchangia mada kama ile, na badala yake mnakesha kwenye hizi post tu. Mchango wako unahitajika kule.
Kila siku hua nacheka sana ukiwaona wakuu wa mikoa wakiimba Tanzania ya viwanda bila mikakati unawaonea hadi huruma
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.

matusi au kukemea -je una isii ni manabii wa uongo wa na tukana manabii wa kweli-jitume kiakili mkuu usiwe shabiki wa kufata mkumbe hiki ni kizazi cha kuhoji-hata kama una ufahamu lakn usitake watu wakuone mbumbumbu mkuu-wasaalm
 
Kobe angeachana na mambo ya siasa akaendelea kula sadaka za MAZWAZWA !
Bei ya sukari ikipanda kwa sababu za kisiasa na yeye inamkuta. Pia biblia haijamkataza mtu kuwa mchungaji na wakati huohuo kuwa mwanasiasa ila yeye ni mchungaji amesema akiiona dhambi anaipiga.
 
,% 99.99 ya manabii hapa tz niwauongo ,,siyo kila atakaye nena yesuu atauona ufalme wa mbigu laa
 
Ni mtu mpumbavu tu anayeweza kumpuuza KAKOBE,Kakobe katimiza wajibu wake kama ASKOFU,Kakataa unafiki unaofanywa na akina PENGO.
Kakobe kawakilisha sauti ya watanzania walio wengi ambao wamekuwa waoga kuusema ukweli.
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.

Aisee yatumie maandiko vizuri, na ktk muktadha sahihi. Ni kweli kuwa sio kila anayejiita Nabii ni Nabii wa Mungu, na ni wazi kuwa kwa sasa manabii wa uongo wapo. KWA SABABU umetumia Biblia, basi rejea Biblia yako vizuri na ujionee visa vingi vya watawala na manabii wa Mungu "Mfalme Sauli na Nabii Samweli, Mfalme Hezekiah na manabii Yeremia na Isaya, Mfalme Daudi na Nabii Nathan, na Mfalme Herode na Yohana Mbatizaji, n.k., Hawa ni baadhi ya manabii na watumishi wa Mungu waliosimama kukemea watawala ambao walikwenda kinyume na sheria za nchi. Hivyo, ukiona watumishi wa Mungu wanasema basi fahamu kuwa wanatekeleza wajibu wao. Biblia inasema kuwa, wapumbavu huchukia maonyo au kurudiwa, bali wenye hekima na busara hupenda maonyo (Mithali 1:7, na 15:5), hivyo yawapasa watawala kusikiliza maonyo na wakubali kurudiwa, kukoselewa ni mojawapo ya changamoto zao za kiuongozi na wazikubali maana ni kipimo cha utendaji. Sio kila anayekosoa ni MWEHU au LOFA.

LAKINI pia, wakosoaji watumie staha ktk ukosoaji.
 
Upinzani umepoteza popularity lakini bado mnahofia katiba mpya ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi. Bado mnahofia uchaguzi huru na wa haki. Bila kutumia polisiccm na silaha mbali mbali zikiwemo mapanga, marungu, visu na mitutu ya bunduki kupora ushindi mtapigwa mweleka wa nguvu.

Hamna hoja hamna sera za kuwavutia Watanzania kwenye chama chenu cha wahuni, wauaji na mafisadi sasa mmebaki kuiba mabilioni hazina ili mtoe rushwa ya pesa na vyeo kununua wachumia tumbo.

Inakuwaje chama cha wahuni chenye popularity kubwa kishindwe kuwashinda wapinzani ambao wamepoteza popularity hadi kitumie wizi na silaha ili kupora ushindi?

Kuna fisadi mkubwa nchi hii kama huyo uchwara? Ukwapuzi wa nyumba za Serikali, ukwapuzi wa bilioni 16 za wahanga wa tetemeko, kujichotea trillions hazina bila idhini ya Bunge, ununuzi wa kivuko uozo kwa bilioni 8.
Nchi zenye utawala wa sheria huyo angekuwa lupango lakini kwenye Serikali hii ya mafisadi wanaokingiana kifua miaka nenda miaka rudi eti leo hii yuko Ikulu!!! Sasa anataka kujiingiza kwenye kundi la Wazalendo wa nchi hii!!!

aliyoyasema hayapo kilichokuwepo ni upinzani kupoteza popularity kwa kukumbatia ufisadi
 
Kakobe kawaharibu CCM kila MTU anakuja na lake
Kwani kakobe alikosea wapi jamani? Soma mithali,28:1--20
Mithali,29:12---
Inasema mfalme akisikiliza uongo watumishi wake wote watakuwa waovu.
Askofu Kakobe yupo sahihi sana maana amesimama kwenye nafasi yake kama wakili wa siri za Mungu.
1wakorintho, 4:1----
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom