Manabii wasifumbiwe macho wanapotukana mamlaka

Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Mkuu nukuu yako ya biblia haiendani na tukio la kakobe,nadhani unajaribu kujifurahisha kwa andiko kutoka kwenye biblia,kumbuka kukemea maovu katika jamii pia ni kazi ya viongozi wa dini
 
Sawasawa, hawezi kumibu rais wetu vile, yeye nani?!
Ahukumiwe kifo...
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
NAONA UMESHINDWA KUJIELEZA KWA POINT,, HUJAUFAFANUA UBAYA WAO AU UONGO WALIOUNENA JUU YA SIZONJE. MAANA DATA HUPINGWA KWA DATA" CHA AJABU NI KWAMBA WEWE UNAKANUSHA DATA BILA DATA. NAONA KAMA NI UJINGA WA KIWANGO CHA LAMI.
 
Hivi kosa la askofu liko wapi?? Kumwambia mtukufu yeye ni nani asikosolewe?? Kumbumbusha uvumilivu wa Mungu kwa sisi wadhambi anavyotuvumilia bila kutuma majeshi yake kutuangamiza kama yeye anavyotumia majeshi ya nchi kutesa raia wake ndio kosa la askofu?? Ama kweli Tz tumeingiliwa!!

Haya ngoja tusifie tu! Hakuna kama Magufuli duniani , ndio mtu bora kuliko wote mfurahi nyinyi
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.

Sawa tumekusikia japo huna hoja. Sasa nje ya mada, wewe ni kada wa ccm na mwenyekiti wako ambayo ni rais wetu ana ajenda ya Tanzania ya viwanda. Hapa jukwaaani kuna uzi unahoji Tanzania ya viwanda ni nini kifanyike ili kufikia huko. Nimejaribu kuangalia sijaona wazo lolote toka kwa vijana wa ccm. Ni vyema mkaenda kule maana ni sera ya serekali yenu mkaeleze njia ya kufikia kule. Ni jambo la aibu nyie kushindwa kuchangia mada kama ile, na badala yake mnakesha kwenye hizi post tu. Mchango wako unahitajika kule.
 
Hivi kosa la askofu liko wapi?? Kumwambia mtukufu yeye ni nani asikosolewe?? Kumbumbusha uvumilivu wa Mungu kwa sisi wadhambi anavyotuvumilia bila kutuma majeshi yake kutuangamiza kama yeye anavyotumia majeshi ya nchi kutesa raia wake ndio kosa la askofu?? Ama kweli Tz tumeingiliwa!!

Haya ngoja tusifie tu! Hakuna kama Magufuli duniani , ndio mtu bora kuliko wote mfurahi nyinyi
kakobe kosa lake ni kupotosha umma na kujaribu kuingiza interest zake za kisiasa kweny mambo ya mungu
 
Baadhi ya wahubiri siku hizi hawahubiri neno wanashambulia dola. Yapo mambo mengi ya kuzungumzia Kanisani kwa faida ya waumini na Injili ya Yesu.
Wewe nadhani ni mgeninkatika kuisoma biblia...soma kitabu cha yeremia ndio utaelewa nini maana ya nabii na kazi ya Nabii katika nchi yenye utawala ulioasi kwa mungu.

Kakobe yupo sahihi na kwa hili KAKOBE KATUMWA NA MUNGU KUJA KUIKOMBOA TANZANIA KAMA AMBAVYO MUSA ALITUMWA KUWATOA WAISRAEL UTUMWANI MISRI CHINI YA MKONO WA DHALIMU FARAO.
 
KWani kakobe amesema yy ni nabii?kuna sehemu ametoa unabii?kakobe kasema kweli na msema kweli ni mpenzi wa MUNGU.mshaurini malaika mkuu abadili katiba nch iwe ya chama kimoja kuliko haya anayofanya,sijawah kusikia upinzani kuwa maadui wa nchi kiasi yakusakanywa namna hi
Wakumbushe hao kuwa
UNABII ALITOA LEMA ALIPOPEWA MAONO KUWA SIZONJE ASIPOBADILIKA ATAKUFA....

Kakobe kaja kwa mara ya pili kusisitiza mkuu afanye toba laa sivyo ATAKUFA kama.nabii lema alivyotabiri.
 
22 ni umri mzuri wa kijana mwenye nguvu ya kuijenga na kuipigania nchi yangu vijana sisi ni taifa la leo
Endelea kuipigania nchi yako huku ukijitahidi kusoma historia ya ilipotoka,kuangalia ilipo na kutafakari iendapo.
 
Wewe nadhani ni mgeninkatika kuisoma biblia...soma kitabu cha yeremia ndio utaelewa nini maana ya nabii na kazi ya Nabii katika nchi yenye utawala ulioasi kwa mungu.

Kakobe yupo sahihi na kwa hili KAKOBE KATUMWA NA MUNGU KUJA KUIKOMBOA TANZANIA KAMA AMBAVYO MUSA ALITUMWA KUWATOA WAISRAEL UTUMWANI MISRI CHINI YA MKONO WA DHALIMU FARAO.
Kondoo wa Bwana mnapotea kwa kukosa maarifa. Mnadhani Mungu ni mzungu eeh? Kama unadhani Mungu anaweza kuikomboa Tanzania kupitia huyo believe me upotea kukubwa sana ndugu mkojo wa bhange.
 
Endelea kuipigania nchi yako huku ukijitahidi kusoma historia ya ilipotoka,kuangalia ilipo na kutafakari iendapo.
naijua historia nchi ilitoka kwa wapiga dili now ipo kwa wazalendo hivyo wapiga dili lazima watupige vita
 
Sawa tumekusikia japo huna hoja. Sasa nje ya mada, wewe ni kada wa ccm na mwenyekiti wako ambayo ni rais wetu ana ajenda ya Tanzania ya viwanda. Hapa jukwaaani kuna uzi unahoji Tanzania ya viwanda ni nini kifanyike ili kufikia huko. Nimejaribu kuangalia sijaona wazo lolote toka kwa vijana wa ccm. Ni vyema mkaenda kule maana ni sera ya serekali yenu mkaeleze njia ya kufikia kule. Ni jambo la aibu nyie kushindwa kuchangia mada kama ile, na badala yake mnakesha kwenye hizi post tu. Mchango wako unahitajika kule.
Jukumu la kuifikia Tanzania ya viwanda ni la nani? ndugu tindo
 
Yeye huyafunua masikio yao, wasikie maonyo, Na kuwaagiza warudi kuuacha uovu. Ayubu 36:10
Atakufa huyo kwa kukosa maonyo, Naye atapotea kwa wingi wa ujinga wake.
Mithali 5:23
 
Jukumu la kuifikia Tanzania ya viwanda ni la nani? ndugu tindo

Ni jukumu letu watanzania, ila limegeuzwa ni la kichama au banafsi. Ukijaribu kuangalia michango ya wanaccm wengine wanasema hili suala wanalijadili ndani ya vikao vya chama chao. kwa hiyo mipango kazi yao inapelekwa kwenye chama kwanza kisha ndio italetwa kwetu wote kwa utekelezaji.

CC: thetallest
 
Nabii wa bwana Huyoo, swali la msingi apa je alioyasema yapo? au hayapo!. Au ilo linawausu watu wa takwimu?
aliyoyasema hayapo kilichokuwepo ni upinzani kupoteza popularity kwa kukumbatia ufisadi
 
Back
Top Bottom