Manabii wasifumbiwe macho wanapotukana mamlaka

Manabii wasifumbiwe macho wanapotukana mamlaka

Mmmmh! Ukiona hayo ya Kakobe na wewe, ujue vimekaza hadi kanisani.
Sio kweli hata kidogo kwani mapato ya kanisa yapo lose kiasi kwamba ni ngumu kuyatax! Kule kuna pesa nzuri mno na ndio maana wamiliki wanatembelea vifaru! Kwa upande wangu nipo vyema sana kwani sidaiwi kodi ya nyumba wala ada ya shule! Nina hofu upande huo kama umeimaliza kazi au ndio umeianza!
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
kosa kubwa alilo fanya magu ni kutaka kumuuwa T.A.L, kipindi chote mbona walikaa kimya?
 
Sio kweli hata kidogo kwani mapato ya kanisa yapo lose kiasi kwamba ni ngumu kuyatax! Kule kuna pesa nzuri mno na ndio maana wamiliki wanatembelea vifaru! Kwa upande wangu nipo vyema sana kwani sidaiwi kodi ya nyumba wala ada ya shule! Nina hofu upande huo kama umeimaliza kazi au ndio umeianza!
Nawe ulilala barabarani kwa amri ya Kakobe kuzuiya nguzo za Tanesco? Hongera! Jihadhali. Amezoea kumiliki watu nadhani kajisahau na kuamini hata rais ni kondoo wake. Ktk maisha yangu sijawahi mpa support aliyejiita mchungaji bila taaluma hiyo. Kanisa la Nyimbo na uponyaji, leo hii anifundishe siasa.
 
Yesu keshahubiriwa kiazi cha kutosha. Na mlidanganywa atarudi.....
Wewe unayemwamini mtume wako,huyu hukustahili kumwabudu kwani alikua binadamu wa kawaida tu wala hakuwa na la ajabu hata kidogo,mnamwaabudu mwenye dhambi kama mimi
 
Mtoa Uzi ungebainisha matusi ambayo unadai yametamkwa yamesemwa na hao manabii!! Kuambiwa kutubu siyo tusi! Kama lingekuwa ni tusi Mungu asingetutaka kutubu! Au unafikiri mtawala kutubu ni kujidhalilisha? Umekosea sana! Kutubu ni wito wa wanadamu wote wakiwemo watawala pindi wanapokuwa wamepotoka! Hata manabii hutubu! Kuambiwa kutubu siyo kudhalilishwa! Unajikomba vibaya! Rekebisha namna ya kujikomba!
 
Wachungaji, nataka niwahakikishie Watanzania tulio wengi tupo nyuma yenu
 
Na Mwenyekiti wako anapoisigina Katiba ya nchi aliyoapa kuilinda na kuitii, unataka achekewe!

Kakobe ni shujaa kwa kumpa "makavu" Mwenyekiti wako na kumwambia atubu dhambi yake ya kuisigina Katiba, ikiwa inamuelekeza kuwa hii nchi ni ya vyama Vingi, wakati yeye anataka kuierejesha ya chama kimoja kwa mtutu wa bunduki.

Inabidi kila mwananchi wa nchi hii apaze sauti yake kwa nguvu zote ili huyu "dikteta uchwara" aweze kubadili gia angani
Unaweza kuja na vifungu vya katiba vilivyosiginwa?
 
Back
Top Bottom