Manabii wasifumbiwe macho wanapotukana mamlaka

Hata Tapeli ana wafuasi mkuu, we endelea kumpa support, lakini baada ya kukoswa miaka ya nyuma mara hii sijui kama ataendeleza utapeli. Kama unamwamini Kakobe unatafuta nini JF? Bora aliye kuzimu.

btw. una elimu gani ktk dunia hii? Mbona nahisi uko sekondari bado?
Hata dikteta ana wafuasi pia

Halafu tuheshimiane malaya wewe
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Tutajie hayo matusi aliyotoa huyo kiongozi wa dini maana inaonekana ninyi mnaugua ugonjwa wa kutaka kusifiwa tu lakini mkikoselewa mnaona ni matusi. Kama hamtaki wawakosoe acheni kuwaambia wawaombee badala yake mjiombee wenyewe.
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Hivi katukana kesemeje lakini? Inamaana ckuiz ukweli umekuwa matuc? shame on you.
 
Laana haitawaacha salama watakaopingana na Kakobe juu ya Ujumbe wake kwa Herode.
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.

Nyoka alimdanganya Adam akaingia majaribuni huko bustani ya eden
 
Ficha upumbavu wko akisifia ujinga mnakuja kuhara humu jf kwa sifa za kipuuzi,akiambiwa ukweli mnakuja juu tulieni ukweli siku zote humuweka mtu huru.hii awamu lumumba hamna tofauti na wadada wa kimboka ...
Badala ya kumwambia ukweli mnamuogopa mnabaki kusema uwongo tu na sifa za kipumbavuuu.awamu ya uwongo uwongo tu yani fiksifisiii tu mara tumekamata 1bn$$$,ohhh tumeokota vichwa vya treni havina mwenyewe leo TRL wamevinunua vichwa @3.2bn kma sikosei.
Sasa kma havina mwenyewe mmemlipa nani
 
Sasa kma havina mwenyewe mmemlipa nani au ndio upigaji model mpya
 
Hadi maandiko yatatumika kuhalalisha uovu ndio ujue shetani alivyo na nguvu
 
Ulaaniwe wewe mwehu wewe.
Hivi unajua kuwa mtumishi wa Mungu anasehemu kubwa zaidi ya viongozi wa serikali?
UCCM umeosha akili zako zote.
Siwezi kubishana na kichaa mchumia tumbo.
Fanya kazi halali utafanikiwa acha kuwa mkia.
Kwahiyo kumwambia ukweli kiongozi ni matusi?
Si ajabu unaweza kuta wewe uliyeandika uzi huu ukawa na shahada.
Tanzania na Afrika wakati mwingine msomi na asiye msomi utawatofautisha kwa mavazi na unyoaji tu sometimes na si kasi ya maendeleo au mawazo ujenzi.
 
Sitachagua upande, ila viongozi wa dini wanatakiwa wajenge zaidi ya kubomoa kimatendo na kauli; mbili Serikali iwe sikivu kwa viongozi wa dini ili watakapopumua huko kwa siri iishie huko huko kuliko ilivyotokea hivi majuzi.
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Nenda kwanza shule ya kukufuta ujinga sijaona Bibles zinazofumbia macho maovu haya yanatokea
 
Hujielewi.....unajua ni kwa nn nabii Yahana Mbatizaji alikufa?ni kwa sababu ya kusimamia ukweli..na kuwapa za uso hao viongozi wa Serikali
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.

Pumbavu kweli wewe!
 
Yeye kuwa WA uongo au WA ukweli sio kazi yako kuhukumu maana hata WA ukweli huwajui....cha muhimu sikiliza chukua kinachokufaa acha kisichokufaa.by the way ujumbe ukikolea unachoma so ukihisi kuchomwa badilika na mwambie mwingine abadilike...msiwanyooshee watumishi WA Mungu vidole hamjawaweka nyie..hujapiga kura kumchagua so usinmyooshe kidole...
 
Back
Top Bottom