Manabii wasifumbiwe macho wanapotukana mamlaka

NI WAPI IMEANDIKWA MAMLAKA INATAKIWA KUSIFIWA TU SIYO KUKOSOLEWA
.
.
.
HAIWAUMI SANA RAIS AKIKOSOLEWA KWENYE MITANDAO ILA INAUMA AKIKOSOLEWA HADHARAN
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Aisee unaangaikaaa
Miaka 14 ya utawala wa Mbowe imetosha CHADEMA
 
Mleta hoja usijidanganye na kuwadanganya wengine kuwa tawala zote zatoka kwa Mungu! Sio kweli hata kidogo kutokana na ushahidi huu wa herode na waisrael enzi za utumwa alivyokuwa anashindana na Mungu kuhusu kuwaachia waisrael ili waende nchi ya ahadi. Herode alikuwa mfalme na hakuwa chaguo la Mungu. Na mifano ipo mingi tu. Hivyo usimtumie Mungu kujustify na kuhalalisha dhuluma juu ya watu wa Mungu.
Kwa taarifa yako hata wanasiasa ni manabii na wanahubiria wafuasi wao habari za uongo nao uwakatae pia.
[emoji106] ila wanaotumia neno la Mungu kwenye mambo ya kijinga wananichefua nafsi yangu ila bac tu
 
Hivi ni nani asiyependwa kukosolewa,ukiamiani kuwa kukosolewa ni tatizo kwako basi jitambue kuwa una matatizo ya akili,ili ufanikiwe ni lazima ukosee,unapofuta makosa kwa kujirekebisha unazidi kuimarika,inapotokea mtu anasema si vyema kumkosoa mtu anapokosea basi jua huyo mtu ni MNAFIKI TENA NI MNAFIKI SANA anataka uendelee kukosea ili umuone ni mwema,
 
Hajatukanwa, ameelezwa namna ya uongozi ulivyo sio sahihi,.ndio hali halisi, tanzania kwasasa
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Katika nchi ambayo waganga matapeli kama babu wa loliondo wanaeuhusiwa?
 
Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.

Elsewhere, Polycarp Cardinal Pengo urged Tanzanians to support President John Magufuli’s efforts to bring development in the country by working hard.

He said in his Christmas Eve sermon at St Marcus Church in Kurasini Parish, Dar es Salaam, that Tanzanians should work hard without complaining.

“The time has come for Tanzanians to work hard, day and night, to support President Magufuli’s efforts,” he said

tafakari, chukua hatua
 
Na wanaposifia mamlaka wasifumbiwe macho pia,unatakiwa kubalance
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Sio mamlaka zote utoka kwa Mungu soma vizuri biblia uelewe.
 
Back
Top Bottom