Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,223
- 2,957
Omba ile Tax Management ile soma tu Tax Usiingia deep sana ukajizonga na kikubwa angalia ile site ya TRA inasiri sana ile site soma kimoja baada ya chengine maswali yanakuja pale la mwisho ni Job Description uzijue maswali yanatokea pale pia mfano moja ya majukumu ya Tax kupambana na magendo linaweza likaja swali likauliza sababu za Walipaji kupelekea kufanya magendo, hasara na suluhisho la magendo so zipitie pitie hizo duties.Hello tupe hints basi mkuu we ulisoma wapi na wapi tupitie na sisi huko tuchomoke?