AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Kwel mkuu mizinga inakera sana.
Ngoja mimi na wewe tuwe washangiliaji...
Utukome!
ha ha ha acha woga wewe pesa huhimu bila kuhonga unataka nn??
mwanaume majukum bhana
Afu na wewe! Hebu tuondokee hapa! Yaani ukilala hela, ukiongea hela, hata ukienda kule.... hela toka bana mi ntakukemea!
ha ha ha acha woga wewe pesa huhimu bila kuhonga unataka nn??
mwanaume majukum bhana
Hata ukinikemea lakin ujue pesa sabun ya roho bana.....
i) Kuomba sana pesa hata kama na yeye ana kazi, hii imekuwa kama mazoea kuwa mwanaume ndiyo mtoa pesa in all life aspects.
hii siyo sawa maisha ya kusaidiana ndiyo yaletayo furaha na mafanikio maishani.
ii) Kulalamika sana akigundua mpenzi wake ana mchepuko, wakati na yeye mchepuko anao zaidi ya mmoja.
iii) Kujiona kuwa wao ndiyo wanaochezewa tu, ukidate nae, mara nyingi utasikia, usikute unanichezea tu! kwani unachezewaje? mauno unakata mwenyewe style mbalimbali unabuni nwenyewe hii kauli ya "usikute unanichezea tu" ifutwe...
iv) Mwanamke kujilipia mahari ili tu aolewe inakera sana, wapo wanawake wa hivi, anampa mwanaume pesa ili akamlipie mahari hii haileti heshima yoyote ile ndoani.
v) Kujifanya wanamisimamo kumbe hakuna kitu, ni fungu la kukosa!!
haya asante Tembosa sasa na we endelea kuishi ki Karen hii ya kushea majukumu ya kulea familia pasu pasu uone matokeo yake,ni full ugomvi kila siku.
tatty si aina ya diko ughaibuni,au unalaza yake
sio ugomvi tu na kuchapiwa kunakopelekea ndoa kuvunjika vipande vipande
Kama sijakuelewa vile
Wanaume wa siku hizi kwa kulia lia!
.........hawajambo yaaani kizazi hiki ptuuuu hakifai hata kwa kulumangia.
Hivi kutoa hela mtu analazimishwa au??
sio kuhonga andika kupewa
afu huhimu ndo lugha gani?
mi hela nakupa nawewe ukipata unanipa mradi tunapendana na ni reallove mazima
Nyie ndio mnanifanya niendelee kujificha na kuwaogopa kuliko ukoma! Anyway, acha tu mimi nikae, sitaki tena hayo mavitu yenu!