Mambo wayafanyayo wanawake yanayokera

Mambo wayafanyayo wanawake yanayokera

kinachonishanga ukikutana na wanawake kwenye mkusanyiko au ofisini kila mmoja anajifanya hataki kuwa tegemezi na wala hataki kumuomba omba mumewe au mpenzi wake hela za hapa na pale ,eti kila kitu anafaya kivyake kwa pesa yake.....sasa njoo kwene uhalisia uone liivyo toauti......wanataka waonekane strong mbele za watu.wakijificha kama hapa JF ndo utajua ukweli wa kile wanahofanya
ukiona mwanamke anajihudumia kwa asilimia 100 lazima mwanaume uwe china na huna say mbele ya huyo mwanamke
 
ukiona mwanamke anajihudumia kwa asilimia 100 lazima mwanaume uwe china na huna say mbele ya huyo mwanamke

hakuna raha kama kumuhudumia mwanamke anaejituma kufanya kazi kwa moyo....kwa sababu utakuwa unamuhudumia kwa roho safi na sio kwa sababu hana ila ni kwa sababu unampenda na wewe ni mwanaume una wajibu wa kumuhudumia mkeo au mpenzi wako....
 
hakuna raha kama kumuhudumia mwanamke anaejituma kufanya kazi kwa moyo....kwa sababu utakuwa unamuhudumia kwa roho safi na sio kwa sababu hana ila ni kwa sababu unampenda na wewe ni mwanaume una wajibu wa kumuhudumia mkeo au mpenzi wako....

Umenena vyema hongera
 
Thubutu uone ka kuna mtu atakukubali....money first next lov...ohooo

Afu na wewe! Hebu tuondokee hapa! Yaani ukilala hela, ukiongea hela, hata ukienda kule.... hela toka bana mi ntakukemea!
 
What kind of a woman is being described here? sounds like one off the streets
 
i) Kuomba sana pesa hata kama na yeye ana kazi, hii imekuwa kama mazoea kuwa mwanaume ndiyo mtoa pesa in all life aspects.
hii siyo sawa maisha ya kusaidiana ndiyo yaletayo furaha na mafanikio maishani.

ii) Kulalamika sana akigundua mpenzi wake ana mchepuko, wakati na yeye mchepuko anao zaidi ya mmoja.

iii) Kujiona kuwa wao ndiyo wanaochezewa tu, ukidate nae, mara nyingi utasikia, usikute unanichezea tu! kwani unachezewaje? mauno unakata mwenyewe style mbalimbali unabuni nwenyewe hii kauli ya "usikute unanichezea tu" ifutwe...

iv) Mwanamke kujilipia mahari ili tu aolewe inakera sana, wapo wanawake wa hivi, anampa mwanaume pesa ili akamlipie mahari hii haileti heshima yoyote ile ndoani.

v) Kujifanya wanamisimamo kumbe hakuna kitu, ni fungu la kukosa!!

wewe Tembo
THIBITISHA HAYA ULIYOYAANDIKA NDO JINSI YALIVYO

I object them all

-money is exchange of freedom and time
-michepuko ni kutojitambua
-hataki rough ila reallove
-kama huna??
-msimamo wako ni upi tembo?
 
Back
Top Bottom