Mambo wayafanyayo wanawake yanayokera

Mambo wayafanyayo wanawake yanayokera

uuuuupi pole yako wewe unakataa wakati wenzio wanahonga magari,viwanja na kutoa cheque.
umri utaenda na lazima utaoa tu.

Ngoja bana nitegeetegee, naweza pata mburula ka mimi. Kwani si duniani wawili wawili!
 
asante kwa kunirekebisha

umesema vzuri nami nikipata sio nakupa sema tunatumia kwa maana ni mwili mmoja

cc spade4spade

sawa mkuu ila huwezi kutumia bila kupewa
all in all chetu wote sote tunatumia wote
 
Last edited by a moderator:
Nieleweshe basi. Wengine sie wagumu wa kuelewa, wepesi wa kusahau

Ooooh!!!

Nilikuwa nasema hivi, kama wewe tatty ni mzuri kama huyu mdada hapa chini kwa picha (which happens to be yo avatar), then mimi watu8 nipo tayari hata kuuza shamba la urithi ili nikuweke ndani...

hot_black_girls.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ooooh!!!

Nilikuwa nasema hivi, kama wewe tatty ni mzuri kama huyu mdada hapa chini kwa picha (which happens to be yo avatar), then mimi watu8 nipo tayari hata kuuza shamba la urithi ili nikuweke ndani...

hot_black_girls.jpg

Oooh now nimekuelewa sana!
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume tangu lini akachezewa?..labda kiuchumi sio kimwili
 
sasa wewe mleta bada kinachokuuuuuuuma ni kitu gani...............
 
Na nyinyi munapenda sana kupikiwa na kufuliwa nguo, nani amesema hayo ni majukumu ya mwanamke? Au ndiyo mazoea unayozungumzia kwa upande wa wanawake tu wa kutaka hela?

Kwahyo hela unayoomba ni malipo ya kunifulia?
 
Mwanaume tangu lini akachezewa?..labda kiuchumi sio kimwili
Point of correction...wanawake tuache kujifanya sisi ni victim sana wa mahaba...ili kuondoa mfumo dume,sasa kama ngono mlifurahia wote,hukubakwa...ndio ulikuwa seduced lakin si ulifurahi?sasa ulichezewaje?si nawewe ulimchungulia?Wanaume ni viumbe kama sisi,na sisi tunawahitaj kama wanavotuhitaji...mimi sio mdoli siwez kuchezewa na nkikupa usijione super koz nimeumbiwa mwanamme sio toys.
 
Hujambo?mchumba Ulipata?
 
hehhe mfumo dume hauwezi isha,Mungu mwenyewe kashamuweka mwanaume above a woman,vitabu vitakatifu viko wazi mbona...
Mwanamke kitembeze na umfunulie kila mwanaume afu uone kama by 30 utakuwa sawa na wanaume wa umri huo huo,labda Kegel exercise za kukaza K zikuhusu kwa wingi....
Kuenjoy wote tuna enjoy ,ila over a long period of time K ndo inachoka,ushawahi kusika dushe ya mwanaume inachoka kisa kalala na wanawake wenig??hakunaga hyo...
 
Back
Top Bottom