Tembosa my dear hutaki majukumu tena kiuhalisia mwanaume anajukumu la kumtunza mke ... ila lazima kuombwa pesa ... mwanamke kuna wakati ni lazimaumuhudumie hivi mkitaka haki sawa basi na nyie mbebe mimba... any way mimi bado mwanaume anayekwepa majukumu ni tatizo
Kama umenitongoza tena kwa kunibembeleza sana aisee lazima ugharamie!
thank you.. natafuta pesa wa ajili yako.
najua hilo na sitayakwepa majukumu yangu.
ila make sure na wewe unaplay part yako kwa uzuri.
ushanifukuza tena.
byeee
stop that acha maneno mengi
Eee jidanganye uwe mkono wa birika uone ka kuna demu atakukubari
ha ha ha ha haha haha aya banaA-ambiguous
W-weird
K-kick ass
W-win loose
A-amazing
R-relationship
D-dating
uuuuupsi usipohonga na kumlea mwanamke basi jua wewe chama lako ni NYETO.
uuuuupsi usipohonga na kumlea mwanamke basi jua wewe chama lako ni NYETO.
Wanaume mipasho babu...miss chagga kishafanya yake kamaliza