asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Nakuombea uwe na gundu hivo hivo....
siyo vizur iwewe mwanamke ...........
au umenirekebisha nyota?
Nakuombea uwe na gundu hivo hivo....
nayo ni mazoea kama wanawake pia walivozoea kuomba pesa!Na nyinyi munapenda sana kupikiwa na kufuliwa nguo, nani amesema hayo ni majukumu ya mwanamke? Au ndiyo mazoea unayozungumzia kwa upande wa wanawake tu wa kutaka hela?
Nimekuweka kwenye chupa staki jam mie lol...siyo vizur iwewe mwanamke ...........
au umenirekebisha nyota?
if i were a boy, i think i will understandId listen to her
'Cause I know how it hurts
When you lose the one you
wanted (wanted)%%%%%"
bak umetishaaaaa nilijua tu ni wew
i) Kuomba sana pesa hata kama na yeye ana kazi, hii imekuwa kama mazoea kuwa mwanaume ndiyo mtoa pesa in all life aspects.
hii siyo sawa maisha ya kusaidiana ndiyo yaletayo furaha na mafanikio maishani.
ii) Kulalamika sana akigundua mpenzi wake ana mchepuko, wakati na yeye mchepuko anao zaidi ya mmoja.
iii) Kujiona kuwa wao ndiyo wanaochezewa tu, ukidate nae, mara nyingi utasikia, usikute unanichezea tu! kwani unachezewaje? mauno unakata mwenyewe style mbalimbali unabuni nwenyewe hii kauli ya "usikute unanichezea tu" ifutwe...
iv) Mwanamke kujilipia mahari ili tu aolewe inakera sana, wapo wanawake wa hivi, anampa mwanaume pesa ili akamlipie mahari hii haileti heshima yoyote ile ndoani.
v) Kujifanya wanamisimamo kumbe hakuna kitu, ni fungu la kukosa!!
kama na mi nna mchepuko wla hutonskia nakulalamikia.i) Kuomba sana pesa hata kama na yeye ana kazi, hii imekuwa kama mazoea kuwa mwanaume ndiyo mtoa pesa in all life aspects.
hii siyo sawa maisha ya kusaidiana ndiyo yaletayo furaha na mafanikio maishani.
ii) Kulalamika sana akigundua mpenzi wake ana mchepuko, wakati na yeye mchepuko anao zaidi ya mmoja.
iii) Kujiona kuwa wao ndiyo wanaochezewa tu, ukidate nae, mara nyingi utasikia, usikute unanichezea tu! kwani unachezewaje? mauno unakata mwenyewe style mbalimbali unabuni nwenyewe hii kauli ya "usikute unanichezea tu" ifutwe...
iv) Mwanamke kujilipia mahari ili tu aolewe inakera sana, wapo wanawake wa hivi, anampa mwanaume pesa ili akamlipie mahari hii haileti heshima yoyote ile ndoani.
v) Kujifanya wanamisimamo kumbe hakuna kitu, ni fungu la kukosa!!

Mamii mbona kimyaa?Mwanaume yake majukumu