Mambo wayafanyayo wanawake yanayokera

Mambo wayafanyayo wanawake yanayokera

I’d listen to her
'Cause I know how it hurts
When you lose the one you
wanted (wanted)%%%%%"

bak umetishaaaaa nilijua tu ni wew
 
Mwanaume ameumbwa matesooooo matesoooo kuhangaikaaaa

Ndo mhangaike kutafuta pesa
 
sasa we nawe hapa tu unaonekana unalalamika...na sie tufanyaje jamani! hahahahahaaaaaaaaaa ni shidaaaaaaaa....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
haya asante Tembosa sasa na we endelea kuishi ki Karen hii ya kushea majukumu ya kulea familia pasu pasu uone matokeo yake,ni full ugomvi kila siku.
~wanawake wanaoishi kwa mazoea ya kihistoria wanakera sana...
 
Last edited by a moderator:
haya asante Tembosa sasa na we endelea kuishi ki Karen hii ya kushea majukumu ya kulea familia pasu pasu uone matokeo yake,ni full ugomvi kila siku.

mambo ya utegemezi tupa kule..
 
Last edited by a moderator:
Tembosa my dear hutaki majukumu tena kiuhalisia mwanaume anajukumu la kumtunza mke ... ila lazima kuombwa pesa ... mwanamke kuna wakati ni lazimaumuhudumie hivi mkitaka haki sawa basi na nyie mbebe mimba... any way mimi bado mwanaume anayekwepa majukumu ni tatizo
 
Back
Top Bottom