Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,684
- 5,655
😅😅Hayo ni mateso zaidi ya gereza rudini 1888 huko mkaoe wa hivyo
😅😅Hayo ni mateso zaidi ya gereza rudini 1888 huko mkaoe wa hivyo
anyway hiyo kwa faida ya wengine kwa sababu mimi mke wangu ni mange kimambi hana shida ndogo ndogo.Jiulize kwa nn afikie hatua ya kukopa na ww upo uzembe umeanzia kwako wajibika kikamilifu ..kaa na mwenzio sikiliza mahitaji yake panga mipango ya pamoja na yeye muone mnafix vipi mahitaji yeke ya msingi na kwa wakati?
Wahudhuriaji wa Harusi wanafiki sana wsnavyofurahi unaweza Dhani mambo ni mepesi kumbe huko ndani mambo ni moto
11😃😃😃🤣🤣🤣1 . Mpe nafasi ya kucheat .as long atatumia protection n arudi kwa nyumba. Kwa maana ukishindana n mwanaume utachoka
2.Mheshimu.
3.mpe yote kitandani
4.usimufokee
5.usiwe mropokaji
6.mpikie chakula kitamu
7. Uwe msafi
8. Usiwahi shika simu yake.
9.heshimu wazazi wake.
10. Be a supportive wife.
11. Kuwa mwanamke asiye omba pesa ovyo ovyo.
Wanaume kuna kitu tumesahau hapo.!?
Wanaume wa kisasa mjiandae kisaikolojia kulipia uzembe wenu wa kutowajibika kwenye familia zenu kwa kigezo kwamba wanajiweza..mtachapiwa sana hadi akili ziwakae sawaanyway hiyo kwa faida ya wengine kwa sababu mimi mke wangu ni mange kimambi hana shida ndogo ndogo.
sawa lakini wakati mwingine ni hulka tu ya mwanamke kuchepuka.Wanaume wa kisasa mjiandae kisaikolojia kulipia uzembe wenu wa kutowajibika kwenye familia zenu kwa kigezo kwamba wanajiweza..mtachapiwa sana hadi akili ziwakae sawa
Basi watakula jeuri yao. Hawaolewi ng'oSio kizazi hiki jeuri