Namba 4 š„µYote hayo nayaweza isipokuwa Namba 8!
Kwahiyo sisi ni nini?Huwa tunawakinai kimtindo so yafaa akishakuchoka mpe nafasi akupige ya watoto wa 2005 mpk ichanganyikiwe.akili ikae Sawa kikubwa mzalie Tu mumeo huyo ulee watoto
Wewe kaza fuvu,1.nimruhusu achepuke then 3.nimpe yoteš³
Hivi mmetuona sisi ni vikopo eti?š¤Ø
Hapo mie nishapasi, nina tabia kama za jina langu 'Angel'Angel Nylon pitia hapa...
Watu wanaoitwa Angel mmhHapo mie nishapasi, nina tabia kama za jina langu 'Angel'
Mara kumi? Nimeachika mpaka nimekubuhu sasa,ngoja tuone ndoa ya sasa huenda atanivumiliaš¤Øš„“Wewe kaza fuvu,
Utaaachika dada yangu
Mi nilioa 2005 azania front sherehee diamond jubilee wallilipq wahindi nduguu balaaqq Dec 14 nikaacha kilakitu nkaondoa na begi ila yale maamuzi nilimmwomba Mungu na Roho Mt akanionyesha soon niko leenye kaburii run ndugu I will never fgt itMara kumi? Nimeachika mpaka nimekubuhu sasa,ngoja tuone ndoa ya sasa huenda atanivumiliaš¤Øš„“
Pole sana mkuu...bila changamoto hujakamilikaMi nilioa 2005 azania front sherehee diamond jubilee wallilipq wahindi nduguu balaaqq Dec 14 nikaacha kilakitu nkaondoa na begi ila yale maamuzi nilimmwomba Mungu na Roho Mt akanionyesha soon niko leenye kaburii run ndugu I will never fgt it
Eehh tunakuwaga wapole sana na hatuna makuuWatu wanaoitwa Angel mmh
Jiulize kwa nn afikie hatua ya kukopa na ww upo uzembe umeanzia kwako wajibika kikamilifu ..kaa na mwenzio sikiliza mahitaji yake panga mipango ya pamoja na yeye muone mnafix vipi mahitaji yeke ya msingi na kwa wakati?sawa lakin mkuu viccoba vya siku hizi vina mambo mengi zaidi ya kufanya saving.
Wahudhuriaji wa Harusi wanafiki sana wsnavyofurahi unaweza Dhani mambo ni mepesi kumbe huko ndani mambo ni motošššNaolewa tena soon kipenzi....ila ndoa nyie...acheni tuš
Na hawakuambii zaidi ya kusema ndoa ni uvumilivu š„“Jiulize kwa nn afikie hatua ya kukopa na ww upo uzembe umeanzia kwako wajibika kikamilifu ..kaa na mwenzio sikiliza mahitaji yake panga mipango ya pamoja na yeye muone mnafix vipi mahitaji yeke ya msingi na kwa wakati?
Wahudhuriaji wa Harusi wanafiki sana wsnavyofurahi unaweza Dhani mambo ni mepesi kumbe huko ndani mambo ni moto
š š š ahEehh tunakuwaga wapole sana na hatuna makuu