Mambo muhimu kwa mwanamke unapoolewa

Mambo muhimu kwa mwanamke unapoolewa

Asiwe mwanachama wa VIKOBA.

ova
Hivi hii imekaaje mkuu nashangaa kuna wanaume wanapinga wawake kuwa na vikoba wakati kiuhalisia hawaezi kutimiza majuku yao kiufasaha sio kwa watoto wala mke..nowdeiz kwa %kubwa ni kawaida mume kutohudumia hasa mkewe apambane mwenyewe kuvaa ,kusuka michango ya kijamii (misiba &sherehe)kusaidia familia alikotokea na bado ataachiwa majukumu ya nyumbani..tena kama huuo bwana ndo kampa mtaji wa kibiashara ndo anajitoa kabisa kuhudumia mahitaji ya nyumbani..akjua hajaacha chochote anajua kinapikwa cha chukuchuku mume hali nyumbani atakula mgahawani.supu kuku nk unadhani bila vikoba kwa system hiyo mwanamke bila vikoba anatoboaje.. wanaume kutowajibika kumepelekea kuwa na vikoba kwa wanawake
 
sawa lakin mkuu viccoba vya siku hizi vina mambo mengi zaidi ya kufanya saving.
 
Ajiunge kwenye vikoba, saccos, no mikopo nje ya hizi taasisi tajwa with my acknowledge & purposely ( money flow game)
 
1.Asihamishie mapenzi yote Kwa watoto mara baada ya kuzaa naye!
2.asisachi surwali zangu wakati wa kufua
 
hakuna tofauti na Hawa wangese waliowapiga watz mqjuzi

Lsscr hahahaahqhqhqh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom