Usijali mpendwa huo ndiyo ushuhuda wenyewe asipo sema hivyo haitakuwa fulfilled bora amesema ili litimie kwa kasi na kwa haraka anadhani kila mara anaongea na watu wa kawaida; hajui kuwa some of us are Kings and our words are decree. As I said so shall it be ninasema nakurudia tena hakuna fisadi atakaye pona nyakati hizi never the mission is completed imebaki utekelezaji!
You watch and see confusion wanayoiendea hawa watesi wa nchi yetu; and some of us will be just some where laughing na kugonga glass za ushindi.
I don't believe in god...so whatever!
Hawana ubavu wa kumtosa R.A. Kwa sababu ndio mfadhili wao, their days are numbered.
Naambiwa JK kaitisha Press Conference muda huu, najaribu kuwasiliana na mwandishi wetu aliye eneo la tukio ili tuwe live nao huko. Mugumu hapatikani kwa simu
Heee asamehewe? kweli RA pamoja na utajiri wake wote lakini hana akili kabisa....yaani baada ya kusema jamani imetosha na sasa najitoa rasmi kwenye siasa,na badala yake anaomba misamaha ili aendelee kuliibia Taifa? yaani mikashifa yote hiyo anayoipata kutoka kwa wananchi bado hatosheki tu? sheenz type ccm
Naambiwa JK kaitisha Press Conference muda huu, najaribu kuwasiliana na mwandishi wetu aliye eneo la tukio ili tuwe live nao huko. Mugumu hapatikani kwa simu
Chombo pekee chenye uwezo wa kubadilisha mwelekeo wa CCM na kukivua gamba la ufisadi ni Mkutano Mkuu wa CCM. Hadi pale chombo hicho kikuu zaidi ndani ya CCM kitakapofanya maamuzi magumuk ya kubadili asili ya CCM mambo mengine yote yatakuwa ni majaribio ya kujinusuru tu na si zaidi ya hicho.
Sawa kwa imani yako ya jabari Mungu awe nawe
Hahaha, watu wa Pwani wamewaonea au sio?Mkuu naona mambo yanawiva,Tusubiri tamko la UV-CCM Arusha.
Ishi, hivi kujua kwanini CCM ilishindwa mpaka waka-amua kuchakachua matokeo ya uchaguzi mkuu ilihitaji kuajiri consultant? Hata mwenye uelewa mdogo wa darasa la 7 angetoa jibu hilo hilo! "KUKUMBATIA UFISADI na MAFISADI". Sasa kama CCM hawakujua hilo mpaka waka-ajiri consultant basi hakuna wenye hekima CCM.