CCM Inafikirisha sana wakati huu

CCM Inafikirisha sana wakati huu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,035
Reaction score
25,030
Kama CCM inaweza kuhusika kwa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mwenezi wake, na sasa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wake ambao wote walikuwa wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashuri Kuu ya taifa. Inafikirisha sana kuhusu usalama wa wana CCM ambao hawafikii hata ngazi ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya wilaya
 
Kama CCM inaweza kuhusika kwa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mwenezi wake, na sasa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekluwa katibu Mkuu wake ambao wote walikuwa wajumke wa kamati Kuu na Halmashuri kuu ya taifa. Inafikirisha sana kuhusu usalama wa wana CCM ambao hawafikii hata ngazi ya ujumbe wa halmashauri kuu ya wilaya
Tatizo ni moja tu kuwa bado inaizungumziwa CCM ambayo kiuhalisia haipo.
Linatumika jina tu basi.
 
Kama CCM inaweza kuhusika kwa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mwenezi wake, na sasa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wake ambao wote walikuwa wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashuri Kuu ya taifa. Inafikirisha sana kuhusu usalama wa wana CCM ambao hawafikii hata ngazi ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya wilaya
Aliyekuambia sisi tumewaua ni nani?
 
Wahuni wamedhamiria kuwanyamazisha watu wote wenye mitazamo tofauti na wao. Sijui kama watafanikiwa.
Tukio la Oktoba 29; na mengine ya utekaji na uuaji baada ya hapo na yanayoendelea lengo lilikuwa hilo, la kunyamazisha, ili mambo yaendele kama zamani.
Watu wasahau, na AMANI kama wanavyoijuwa wao irejee.

Bahati mbaya mambo yamekuwa tofauti kabisa na matarajio yao.

Sasa hawawezi kusitisha uovu wao, kwa sababu ndio unaowabakisha kwenye madaraka. Na watu wamekataa kunyamaza na kuufyata.

Kilichobaki sasa, hata hivyo vyombo vya dola wanavyovitegemea vitageuka; na dalili zimeanza kujionyesha waziwazi. sehemu mbalimbali nchini.
 
Kama CCM inaweza kuhusika kwa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mwenezi wake, na sasa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wake ambao wote walikuwa wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashuri Kuu ya taifa. Inafikirisha sana kuhusu usalama wa wana CCM ambao hawafikii hata ngazi ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya wilaya
IMG-20260829-WA0027.jpg
 
Attachments

  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 3
  • Cam.png
    Cam.png
    336.1 KB · Views: 2
Kama CCM inaweza kuhusika kwa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mwenezi wake, na sasa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wake
Kama wanaweza kumuua policcm wao (ambao ndo huwaweka madarakani kinyume na matakwa ya umma) kwa unyama na ukatili hivi, muda wao wa kutawala kwa shuruti na hila upo ukingoni..
👇
Wamempeleka msituni, wamemtesa sana wakiwa wamemfunga pingu, ikiwa ni pamoja na kumkata visigino, kumkata pua, kung’oa kucha, kumtoboa macho na kumuingizia chupa sehemu za haja. Kisha wakamrudisha mahabusu na kumtundika kwa T-shirt yake...
 
Malisa Godlisten Leo alikuwa safarini kutoka Marekani ambapo amekuwa kwa zaidi ya miezi tisa (9), tangu alipoenda kuiwakilisha nchi yetu kama mtanzania pekee aliyechaguliwa na Wizara ya Mambo ya nje ya Marekani kwenda kupata mafunzo ya uongozi. Fursa ambayo hujitokeza kwa watanzania wachache sana kama ilivyowahi kutokea kwa aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Alipofika Nairobi- Kenya asubuhi ya leo, alishindwa kuendelea na safari kutokana na kuwepo kwa mgomo wa wafanyakazi unaondelea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta. Hivyo aliamua kusafiri kwa usafiri binafsi mpaka Namanga ambao ni mpaka kati ya nchi yetu na Kenya ili kuingia nchini kupitia Arusha.

Aliwasili Namanga majira ya saa tisa(9) mchana na kwenda kwa maafisa uhamiaji ili kugongewa hati ya kusafiria (Passport) na hatimaye kuingia nchini kama utaratibu unavyotaka.

Baada ya kufika kwa maafisa uhamiaji hao, walichukua hati yake ya kusafiria na kumwambia kuwa haisomeki kwenye mfumo (system) hivyo wao hawana namna ya kufanya mpaka mkuu wao (in- charge) aje ndio anaweza kuona kwenye mfumo.

Kutokana na kadhia hiyo, na kwa kuwa aliambiwa Mkuu huyo hayupo kwa muda Malisa GJ aliendelea kukaa katika ofisi hizo za uhamiaji akisubiri Mkuu huyo kuja na kuhakikisha tatizo hilo linapatiwa ufumbuzi.

Cha kushangaza ilipofika saa moja jioni, alichukuliwa na gari ambalo si la Polisi jeupe Double Cabin na kupelekwa kituo cha Polisi Longido. Hata hivyo gari hilo halikukaa sana likaondoka kuelekea uelekeo wa Arusha.

Mpaka natoa taarifa hii hakuna taarifa kamili za aliko Malisa GJ na nini ni sababu ya kukamatwa kwake. Aidha simu zake zote zimezimwa tangu alipokuwa anatolewa Namanga.

Nitoe rai kwa Polisi na Uhamiaji kumwachia huru mara moja au kuhakikisha wanatoa taarifa kwa umma za aliko Malisa GJ na sababu ya kukamatwa kwake. Kama haitoshi kuhakikisha anapewa haki zake za kisheria ikiwemo kuonana na mawakili wake na haki ya Mawasiliano.

Dickson Matata (Wakili)
31/8/2026
Arusha-Tanzania.
 
Attachments

  • e773c1bd-d6de-4bec-acb8-a6f6b8fa6d72.jpeg
    e773c1bd-d6de-4bec-acb8-a6f6b8fa6d72.jpeg
    72.3 KB · Views: 3

Hili jina lako la Hasegawa huwa linanitatanisha sana; ulilipata wapi? Hasegawa-San alikuwa mpenzia wangu wa karibu sana nikiwa Tokyo enzi za ujana wangu, Hatujaonana zaidi ya miaka 35 sasa lakini bado namkumbuka alivyokuwa anajua kunipakata kwa upole. Vipi ulimchukua wewe baada ya viza yangu kuisha?
 
Hili jina lako la Hasegawa huwa linanitatanisha sana; ulilipata wapi? Hasegawa-San alikuwa mpezzia wangu wa karibu sana nikiwa Tokyo enzi za ujana wangu, Hatujaonana zaidi ya miaka 35 sasa lakini bado namkumbuka alivyokuwa anajua kunipakata kwa upole. Vipi ulimchukua wewe baada ya viza yangu kuisha?
 
Attachments

  • downloadfile-5.jpg
    downloadfile-5.jpg
    161.3 KB · Views: 4
Kama CCM inaweza kuhusika kwa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mwenezi wake, na sasa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wake ambao wote walikuwa wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashuri Kuu ya taifa. Inafikirisha sana kuhusu usalama wa wana CCM ambao hawafikii hata ngazi ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya wilaya
Mwalimu, hawa jamaa wanapotaka watu wajipange mstari wanataka wajipange kwelikweli. Na hakuna alive salama..mimi sideline kushangaa hata Rais mwenyewe hayuko huru...akileta za kuleta....
 
Kuna msemo unasema fisi akitaka kuanza kuwala watoto wake husingizia wana harufu kama ya mbuzi.

Mtu akishaanza mambo ya kumwaga damu za watu huwa haachi ni mpaka na yeye hatua ya mwisho damu yake itakapomwagwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom