Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Mwanaume ukioa kaa ukijua kuwa hela ya mwanamke ni yake peke yake. So if u dont have money ujue hapo ndoa italegalega. Tusidanganyane bwana ....mapenzi bila pesa hamnaga.

Sio kweli mnapooana mnakuwa kitu kimoja, Mimi huwa ninatoa kila mwezi tangu nilipoolewa na huu ni mwaka wa kumi kwenye ndoa yangu, tena natoa mwenyewe bila kushurutishwa na pasipo na manunguniko hata ninapopata bonus huwa naileta yote nyumbani tunashauriana kiasi kadhaa tukipeleke kanisani kama shukrani kwa Mungu.
Hii inategemea na aina mtu uliyemuoa na uelewa wake ukoje.
 
Nasaidia kujibu!
Wabinafsi ndiyo mfano mwanaume kuchepuka anao sawa lakini mkewe kuchepuka ni kosa!! Huo ni ubinafsi,kama inavyokuuma wewe na yeye inamuuma hivyo hivyo...
I got you, mambo mengine vipi lakini??
 
Sio kweli mnapooana mnakuwa kitu kimoja, Mimi huwa ninatoa kila mwezi tangu nilipoolewa na huu ni mwaka wa kumi kwenye ndoa yangu, tena natoa mwenyewe bila kushurutishwa na pasipo na manunguniko hata ninapopata bonus huwa naileta yote nyumbani tunashauriana kiasi kadhaa tukipeleke kanisani kama shukrani kwa Mungu.
Hii inategemea na aina mtu uliyemuoa na uelewa wake ukoje.
Hongera zako
 
4.hasa kwa mwanaume,mtu anaoa anajua hapa yes, sinunui tena makahaba sinza nakuwa namgegeda mke wangu asubuhi,mchana na jioni tena bila condom,ila akioa tu mara mwanamke anasema amechoka,mara hayupo kwenye mood,mara hajisikii kufanya mapenzi,mara yupo busy na watoto,ndoa nyingi zinayumba baada ya mwanamke kuzaa,waliooa mashahidi,kwa mwendo uo lazima uchepuke tena ukioa ndo unachepuka kwa speed 180 kumzidi hata bachelor
Word
 
Sasa hata mkiwa na upendo wa kweli mtakula mawe? Uchumi ukiyumba unaleta migogoro kwasababu ya stress,hapo ndio uhusiano unaanza kubomoka.

Uko sahihi ndugu, mi nikikosaga pesa hata nguvu za kiume zinapungua
 
4.hasa kwa mwanaume,mtu anaoa anajua hapa yes, sinunui tena makahaba sinza nakuwa namgegeda mke wangu asubuhi,mchana na jioni tena bila condom,ila akioa tu mara mwanamke anasema amechoka,mara hayupo kwenye mood,mara hajisikii kufanya mapenzi,mara yupo busy na watoto,ndoa nyingi zinayumba baada ya mwanamke kuzaa,waliooa mashahidi,kwa mwendo uo lazima uchepuke tena ukioa ndo unachepuka kwa speed 180 kumzidi hata bachelor
Upo sawa
 
Back
Top Bottom