Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

U binafsi huvunja sana ndoa. Ukisha oa au kuolewa ni miili miwili umekuwa mwili mmoja. Unapofanya maamuzi yeyote ni lazima umshirikishe mwenzako.

Kuna vitu ibabidi u sacrifice, mfano dream ya kujiendeleza kimasomo kama inaingiliana na ratiba ya mume mke na watoto.
Hili ukilifuatilia kwa mapana yake ndio sumu kuliko hata hayo mengine...
 
Tukifuata maagizo ya Mwenyezi Mungu kama yalivyotanabaishwa katika vitabu vya dini naamini hakutakuwa na migogoro ya kimazoea" mwanamke na amtii mumewe na mwanaume ampende mkewe" kutii atii kweli katika kila hali na hali zote na kupenda ampende katika hali zote za kimaisha..
Nawatakieni jioni njema wananzengo nyote kwa ujumla wenu....
 
Mungu aliumba binadamu athaminiwe na vitu vitumike..tatizo la dunia ya leo, binadamu wanatumiwa na vitu vinathaminiwa kindakindaki.
Tunapingana na asili(nature) wakati asili haijawahi shindwa na mwanadamu toka uumbaji na uumbaji mpaka Leo asili inazidi kuibuka kidedea..
nawatakieni jioni njema wananzengo
 
Kama maisha yangekuwa rahisi hivyo.
 
Mungu aliumba binadamu athaminiwe na vitu vitumike..tatizo la dunia ya leo, binadamu wanatumiwa na vitu vinathaminiwa kindakindaki.
Tunapingana na asili(nature) wakati asili haijawahi shindwa na mwanadamu toka uumbaji na uumbaji mpaka Leo asili inazidi kuibuka kidedea..
nawatakieni jioni njema wananzengo
Unfortunately life isn't that straightforward
 
Inasemekanana sababu kuu zinazovunja ndoa ni
1. Pesa
2. Tendo la ndoa
3. In-laws(wakwe, wifi, mashemeji etc)

Kwamba hivi vitu vitatu vikiyumba ndoa chali. Ni kweli?
Kikubwa ni tendo la ndoa

Wivu hauna mwanamke wala mwanaume
Wala pesa wala wakwe
Hata vitabu vya dini vimesema
 
Men don't want sex, they need sex,ni basic need,so hii inaprove mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja, unasema wanawake wanafanya sex na mtu ambaye wapo attached naye emotionally,nini kinasababisha mwanamke asiwe na emotions kufanya sex most of the time??
Hutosheki mmoja kwnn unaingia kiapo cha ndoa?.
 
Kikubwa ni tendo la ndoa

Wivu hauna mwanamke wala mwanaume
Wala pesa wala wakwe
Hata vitabu vya dini vimesema
Kama huna pesa hamu ya tendo la ndoa inatoka wapi? Imagine unawaza utakula nini au watoto wamerudishwa nyumbani kwasababu ya ada....hio hamu ya tendo la ndoa itatoka wapi?
 
Back
Top Bottom