Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Nimetoka kutumikia Ban ya siku 5 sijui kosa kwa kuharibu mijadala so naomba niwe makin ku comment.

AMANI KATI YA WAWIL INALETWA PIA NA VITU.NYAKAT NGUMU HUWA ZIPO LAKIN ZISIZID SANA.
HAKUNA BAUNSA MBELE YA DHIKI LAZIMA UKAE TU AKITOKEA MWENYE NACHO UTABEBEWA TU MALI YAKO.LA KAMA SI HIVYO BASI KUBALI MAELEWANO/KUSIKILIZANA NA KUHESHIMIANA NA KUVUMILIANA VATAPUNGUA TU ENDAPO SUPPLY ITAKATA KWA MUDA WA SINTOFAHAM.
PESA SIYO KILA KITU LAKIN ISHIWA PESA UONE MAMBO YANAVYO CHANGE..AU KUWA NA PESA HALAF MPENDE MWENZIO UONE RAHA YA MAPENZ DUNIANI
 
Wanasema ishiwa pesa ujue tabia ya mkeo,pata pesa tujue tabia yako
 
Mwenzenu mke wangu amesema hajisikii kufanya mapenzi na mimi nimebembekeza mbaka nimechoka anasema hisia kwangu zimekufa.kwa hiyo sasa hivi nalala na bukta full nimemwambia haina shida
Pole sana
 
Nikweli tatizo labda utajiri waliotaka wao me sikuwa nao zaidi labda familia yangu.

Kuhusu dini haikuwa kigezo kikubwa sana kwakuwa nilitimiza hilo.

Mwanzo baadhi ya ndugu zake hasa kaka yake na binamu yake waliungana nae maana walinijuwa kutokana na sehemu yangu ya kazi nilikuwa nakutana nao sana na walipokuja nilikuwa nikiwafanyia wema.

Tatizo lilikuwa kwa dada yake na ndiye alikuwa na ushawishi zaidi.
Duh pole sana
 
Umeona eh! Utamu wote huo halafu siku zinakatika hakuna kugegeda kwa visingizio mbuzi? Acha ndoa zivunjike na walio nje wahofie kuingia huko.
Kweli kabisa acha ndoa zivunjike,visingizio mbuzi ndani wakati nje anapiga kama kawaida.....
 
1.Pesa- zinatafutwa
2.Tendo-hakuna mwanamke wala mwanaume asiye na nguvu za kiume/ kike inategemea mtindo wenu wa maisha mnaishi vipi.
3.in-laws- kuwapa nafasi ndugu au kutowapa ipo ndani ya uwezo wenu.

Nb.kinachovunja ndoa
kwa upande wangu ni mawasiliano.
 
Nilipokuwa katika mahusiano nikitarajia kuoana nae bhasi kati ya hivyo vigezo vitatu viwili nilikuwa navyo sasa hicho kingine kilichobaki kilikwamisha sana mipango yetu mpaka ilifikia malengo kutokutimia na ikafika kipindi nikabaki na kimoja pekee vingine vyote vikaniponyoka, hivyo nakubali ni vitu muhimu sana kuanzia katika mahusiano.
Una maanisha namba moja na mbili
 
Inasemekanana sababu kuu zinazovunja ndoa ni
1.pesa
2.tendo la ndoa
3.in-laws(wakwe,wifi,mashemeji etc)
Kwamba hivi vitu vitatu vikiyumba ndoa chali. Ni kweli?
Namba 1 mi kama uzi wangu ingekaa KUTOKUMCHA MUNGU ningetoa maelezo MITH;31:10-31. Hayupo mwanaume wa kuachana na mwanamke anazungumzwa hapa tafuta muda umsome Mwanamke wa aina hii halafu mwanaume aniambie unamuacha kwa sababu ipi?
 
Namba 1 mi kama uzi wangu ingekaa KUTOKUMCHA MUNGU ningetoa maelezo MITH;31:10-27. Hayupo mwanaume wa kuachana na mwanamke anazungumzwa hapa tafuta muda umsome Mwanamke wa aina hii halafu mwanaume aniambie unamuacha kwa sababu ipi?
Sijakuelewa.
 
Back
Top Bottom