Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Sio kweli mnapooana mnakuwa kitu kimoja, Mimi huwa ninatoa kila mwezi tangu nilipoolewa na huu ni mwaka wa kumi kwenye ndoa yangu, tena natoa mwenyewe bila kushurutishwa na pasipo na manunguniko hata ninapopata bonus huwa naileta yote nyumbani tunashauriana kiasi kadhaa tukipeleke kanisani kama shukrani kwa Mungu.
Hii inategemea na aina mtu uliyemuoa na uelewa wake ukoje.
Hiyo ni mwanamke mmoja kwa million kumi. Ukipata wa hivyo well and gud ila kutopata disappoints ni bora mwanaume usitegemee hela ya mkeo wee beba majukumu yote weye peke.
 
Mfyuuuuu....huyo ana kifafa cha dyudyu itakuwa,.unasusiaje nyama noro kwa mfano...???[emoji23]
Hivi hili tendo la ndoa ni kwamba wanawake hamuwezi kufanya kila siku? Au walau kuvusha siku moja moja yaan mfano umefanya j3 uje ufanye j5.....

Afu au wanaume wengi tuna hili tatizo mfano mie yaani hata kila siku naweza fanya hata niwe nimechoka vipi je au ni tatizo?
 
Mhh...we utakuwa na matatizo...Me nna zaidi ya mwaka sijashiriki hiyo dhambi...lakini kwenye ndoa ni muhimu asee.
 
Nifanyeje sasa....maana naona hiki kinavunja mahusiano sasa yaani naona miaka mingi imekua malumbano.....

Paka imefkia hatua mtu anakuambia yeye hawezi kwa namna hii kama naweza nitafute mchepuko siku ambazo anataka zipite kabla ya kufanya tena
 
Mie binafsi nmesema michepuko siwezi...siwezi tenda hii dhambi ya kuchepuka na sitarajii ila naona uvumilivu unanishinda sasa...
Mhh...we utakuwa na matatizo...Me nna zaidi ya mwaka sijashiriki hiyo dhambi...lakini kwenye ndoa ni muhimu asee.
 
Rafiki umeamkaje lakini! !!

Mimi nipo huku Ukanda wa Gaza! !!!!

Leo nitafanya kila linalowezekana! !!
Sijambo kabisaaa rafiki, hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu!

Habari za upande wa Gaza lakini?!

Aiseee, jitahidi sana jamanii rafiki!
 
Nifanyeje sasa....maana naona hiki kinavunja mahusiano sasa yaani naona miaka mingi imekua malumbano.....

Paka imefkia hatua mtu anakuambia yeye hawezi kwa namna hii kama naweza nitafute mchepuko siku ambazo anataka zipite kabla ya kufanya tena
Ooh...labda mkeo anachoka sana pengine...Ana majukumu mengi bila shaka🤔
 
Sijambo kabisaaa rafiki, hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu!

Habari za upande wa Gaza lakini?!

Aiseee, jitahidi sana jamanii rafiki!
Usijali rafiki ukiwa mzima hiyo ni furaha kwangu pia!!

Huku salama tu maisha yanaendelea..

Usijali kwako nitafanya lolote rafiki!!
 
Hivi hili tendo la ndoa ni kwamba wanawake hamuwezi kufanya kila siku? Au walau kuvusha siku moja moja yaan mfano umefanya j3 uje ufanye j5.....

Afu au wanaume wengi tuna hili tatizo mfano mie yaani hata kila siku naweza fanya hata niwe nimechoka vipi je au ni tatizo?
Kwahio mzee unapiga mwaka mzima?
 
Back
Top Bottom