kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,809
Mkuu Bashiru aliwatuma mjibu hoja sio kufokaUtopolo..tunataka sera mura hii topolo haisaidii peleka kwenye vilabu vya matap tap
Mkuu Bashiru aliwatuma mjibu hoja sio kufokaUtopolo..tunataka sera mura hii topolo haisaidii peleka kwenye vilabu vya matap tap
Hivi kweli yatoka moyoni mwako hayo?Mikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni
Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu
Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
Ujobile AMENKazi kubwa hapa
1:kutengeneza wananchi waliorubuniwa kwa mda mrefu sana toka miaka ya 60 kuwa Chama kimoja tu kimetumia ujinga wao wananchi kuendelea kukaa madarakan...hivo kubadil akili zao!
2:kumwambia mwananch kuwa huyu anaekupenda au anaedai amekupenda kwa mda mrefu mbona vitendo vyake havireflect ukweli?mfn.yeye ndg zake 4 ama 5 ama zaidi wamejaa ofs moja halaf wewe hapa kijjn watoto wako wamekosa ajira na wamesoma.
3:kuwambia wananchi kuwa kinachobiriwa na mtawala kuwa amefanya hata wengine walifanya?kwanini atake sifa tu yeye?
4:nk nk
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Yajayo yanafurahisha.. hawajui watanzania tunataka maendeleo sio taarab na mipasho..Yanawahusu Nini watu wa Mbalali alipokuwa akihutubia? Kaanza kugeuza mikutano ya kampeni vijiwe vya story
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?
Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Yajayo yanafurahisha.. hawajui watanzania tunataka maendeleo sio taarab na mipasho..
Rais Magufuli kafanya mengi sana wenye akili timamu ndio watakaoelewa tu...
Baada ya Lisu kumaliza kueleza hayo mambo kumi ukimuuliza mwana mbalali sera za Chadema Ni Nini atajibu Nini hapo?
"Kufanya nyanda za juu kusini kuwa kituo cha kilimo cha biashara kusini mwa nchi za Africa"uwezo wa Lissu umeishia hapa.Nyie kizazi cha nyoka....
Na bado!! Mtachanganyikiwa sana mwaka huu
Kwani hakuongea Sera za Chama chake ??? Kubadirisha mfumo wa utawala ni nini??? Kuifanya nyanda za juu kusini kuwa kanda maalumu ya uzalishaji wa kilimo na biashara za kilimo kwa nchi za kusini mwa Africa nini???
Kutoa Bima ya Afya kwa watu wote ni nini???? Kuwafidia wote waliohamishwa kuongeza mbuga ya ruaha ni nini????
Kwa kifupi CCM mmechanganyikiwa na hamna cha kumjibu Tundu Antiphas Lissu mnaishia kuchanganyikiwa na kutoa propaganda uchwara
Mikutano ya kampeni Sio sehemu ya maswali Ni sehemu ya kunadi sera na kuomba kura sehemu ya maswali na majibu Ni bungeni alikokuwa huko angeuliza maswali yote apewe majibu na serikali hakuuliza anakuja kuuliza Nani kwenye mikutano ya kampeni
Mkutano wa kampeni Hakuna Spika Wala waziri anapotezea muda watu tu
Anadi sera zake aombe kura . Aondoke aende Kwingine
We k kweli ndo umejibu nn hapo sasa.. mleta mada kasema lisu alisema tazara nayo ni sgr... Tazara ni 1067mm thats mean sio sgr... Mimi nimeuliza.standard-gauge railway is a railway with a track gauge of 1,435 mm. The standard gauge is also called Stephenson gauge after George Stephenson, International gauge, UIC gauge, uniform gauge, normal gauge and European gauge in Europe.
Jihadharini sn na story za vijiwe vya lumumba nyie misukuke
"Kufanya nyanda za juu kusini kuwa kituo cha kilimo cha biashara kusini mwa nchi za Africa"uwezo wa Lissu umeishia hapa.
hawezi,hawezi,hawezi kudadavua ataweka mfumo upi au mazingira yepi,pesa zitatoka mfuko upi,atawawezesha vipi wakulima,pembejeo,soko ili kufanikisha hili.
hawezi,hana icho kipaji.wakina Lipumba ni wabobezi wabobezi wa kuchanganua lakini kusema na kutenda nintofauti.
Lissu naye anavaa madela kama mange kimambi.
Kama ni utaalam mbona kashindwa hata kusema atatumia wataalam,anabaki anabwabwaja?Kumbe Hiko ni kipaji
Sasa si ndio maana Kuna wataalam?
Kwani kahawa na korosho zimekuwaje? Mwenye kipaji amefanya nn?
Kama ni utaalam mbona kashindwa hata kusema atatumia wataalam,anabaki anabwabwaja?
Dada yangu,Hujawahi kuwa na hoja ya maana.Wenye akili wamemwelewa Lissu.Ukisoma tu hilo hitimisho unaelewa lengo la hizo hoja.Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?
Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Hawafanyi wao, ni kwa niaba ya watanzania wote na kodi zetu na mali asili zetu na utekelezaji wa matakwa ya watanzania, kikubwa hapa ni usimamizi na uzalendo tu. Nchi hii ilikua inaelekea kubaya mkuu tuweke unafiki pembeni, Mzee Magu kajitahidi sana.Kila Rais kafanya mengi sana, tatizo la awamu hii mmekuwa na hofu Sana, kiasi kwamba hata ukila kuku nyumbani kwako unaona kama ni hisani ya Rais