Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Mwambie alipe kodi. Yeye ni mbunge na ana kampuni ya sheria. Alikuwa mwanasheria wa kuiwakilisha BoT/serkali kwenye kesi nyingi za kimataifa na alikuwa analipwa mamillioni ya ya $$$, siyo shilingi bali $$$. Sasa akidaiwa kodi kuna kosa gani. Alitakiwa aklipe kodi na hakulipa. Kama anabambikiwa kodi si akate rufaa au aende mahakama ya kibiashara. Yeye ni msomi na anayajuwa haya. Wewe ulichokifanya ni kusema uongo eti kaonewa. Wabunge wanajuwa pa kwenda kama wameonewa...kwenye vyombo vya sheria.vyombo vya sheria. Kwa nini asiende huko!
Sawa.

Lamini oia, kwa Tanzania ya sasa kodi inaweza kutumika kama fimbo ya kisiasa.

Kodi inatakiwa kuwa wazi, inatakiwa ilipwe na wote na inatakiwa iwe sawa na uzalishaji.

Tanzania hayo yote hayazingatiwi.

Simtetei Mzee Mkono, nasema mapungufu ya kimfumo yanayozaa naswali kwa mtu yeyote mwenye kesi ya kodi.
 
Acha uzwazwa mkuu....

We msukule wa lumumba unataka ushahidi gani zaidi..... Mwambie aweke wazi mikataba na malipo..... Mtoto wa dada mlipaji na mtwasi ndo anayepewa kandarasi zote....

Ccm wakeshauza nchi kwa wazungu mikataba yote ni ya kinyonyaji....
Magufuli ndo kaja kupiga dili zaidi......yeye binafsi amenunua ndege kwa usiri mkubwa kwa manufaa yake yy na wazungu......

Ufisadi na magufuli ni dhahiri sn tunachosubiria ni actual figures tu...

Nyie ng'ombe ccm hakuna rafiki wa wazungu zaidi ya maccm.....
Sawa Msukule wa Mbowe...
Angaikeni mumtengenezee ruzuku aipige kama kawa...

Viva Magu 2020 to 2030
 
Toa uzwazwa wako wa kihutu mkuu....

We msukule wa lumumba unataka ushahidi gani zaidi..... Mwambie aweke wazi mikataba na malipo..... Mtoto wa dada mlipaji na mtwasi ndo anayepewa kandarasi zote....

Ccm wakeshauza nchi kwa wazungu mikataba yote ni ya kinyonyaji....
Magufuli ndo kaja kupiga dili zaidi......yeye binafsi amenunua ndege kwa usiri mkubwa kwa manufaa yake yy na wazungu......

Ufisadi na magufuli ni dhahiri sn tunachosubiria ni actual figures tu...

Nyie ng'ombe ccm hakuna rafiki wa wazungu zaidi ya maccm.....
 
Lia na Lissu apate urais japo haiwezikanii... jililie na hali yako.
Sintakuita zwazwa wala mzukule...

Mungu ametubariki kwa kutupa Magu

MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia Kidatu na Mtera (Nyerere), wengine wakajenga Kihansi (Morogoro - MKAPA), Hale (Tanga - NYERERE), Pangani (Tanga - MWINYI), Nyumba ya Mungu (Kilimanjaro - NYERERE), Rusumo (Kagera- KIKWETE), Songwe (Mbeya - KIKWETE)

Fafanua hapo kwenye red tafadhali
 
MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA

MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia Kidatu na Mtera (Nyerere), wengine wakajenga Kihansi (Morogoro - MKAPA), Hale (Tanga - NYERERE), Pangani (Tanga - MWINYI), Nyumba ya Mungu (Kilimanjaro - NYERERE), Rusumo (Kagera- KIKWETE), Songwe (Mbeya - KIKWETE)

TATU: Wakati wa uhuru kulikuwa na mbuga moja tu, ya Serengeti, iliyotengwa na Mkoloni. Nyingine zote zilianzishwa kwa amri za marais kwa kuhamisha watu, hizi za Magufuli wanahamisha wanyama, wanawapeleka Chato ambako naturally hakuna mbuga, hakuna wanyama. Na wanapounda mbuga mpya wanaingilia maeneo ya watu na hawawalipi fidia, wanasababisha maafa na migogoro ya ardhi. Anaijua migogoro yote ya mipaka ya hifadhi nchi hii, na ardhi za wananchi zilizopokwa bila fidia, kwa sababu alilifanyia utafiti katika kazi yake ya kwanza akitoka chuo.

NNE: Daktari muanzilishi wa Hospitali ya Masana Mbezi, Dar es Salaam, alikufa kwa pressure baada ya kukutwa na mashine alizonunua kwenye mnada wa vifaa chakavu, Muhimbili, akasahau kufuta zile alama za MUHIMBILI MKWAJU SERIKALI MKWAJU HOSP MKWAJU RUFAA MKWAJU SIFURI SIFURI MBILI MKWAJU.... Alifunguliwa kesi ya uhujumu uchumi isiyo na dhamana, akafa na pressure halafu wakakuta ni kweli alinunua Muhimbili.

TANO: Mbunge wa CCM, Salim Hassan Abdullah Turki, amekufa na pressure baada ya kubambikwa madai ya kodi ya mabilioni. Mheshimiwa Turki ndie aliyekodi ndege ya kumpeleka Tundu Lissu Nairobi akiwa mahututi. Hii Tundu Lissu amesema ameambiwa na familia ya marehemu.

SITA: Mtoto wa Dada yake Magufuli, Doto James, ambae kwa sasa ndie ana saini miamala yote ya serikali, alirushwa vyeo ghafla kutoka kuwa afisa TANROADS mpaka katibu mkuu HAZINA pindi mjomba wake alipopata Urais; Na kwamba, sasa hivi kuna watu wawili tu nchi hii, Doto James na mjomba wake, ambao wanajua hela za kununua ndege na za Bwawa la Rufiji ni shiing ngapi na zimetoka wapi.

SABA: Familia ya Mwinyi, Mkapa kila mmoja anamiliki ekari 60,000, Sumaye 45,000 za ardhi ambazo awali zilikuwa mashamba ya serikali, ikiwemo NAFCO, kabla ya kujimilikisha wakiwa marais na wa mawaziri wakuu. Viongozi wengine na matajiri wenye ekari chini ya hapo, elfu 35, elfu 20, elfu 15, elfu 10, elfu 5 ni wengi, wengi, wengi mno. Ambao walipeana kama "wawekezaji" lakini wamezikalia tu. Na ni sababu moja kubwa na migogoro ya wakulima na wafugaji, kupungua kwa ardhi.

NANE: Miaka saba baada ya kuwa tushapata uhuru, Nyerere aliandika kitabu kuelekezea kwamba bado tunahitaji uhuru licha ya kuwa tulishawaondoa wakoloni, kinaitwa Uhuru na Maendeleo. Hoja kuu ya kitabu cha Nyerere inasema jamii inapimwa kwa maendeleo ya watu, sio ya vitu na miundombinu.

TISA: Mkandarasi wa Uwanja wa Ndege Chato, Mayanga Construction (Steven Makigo), ni mme mwenza wa Magufuli, wameoa nyumba moja. Mme mwenza aliambiwa jenga uwanja! Mpwa (Doto James) akaambiwa toa hela!

KUMI: Kiwanja kimoja tu cha ndege kimejengwa na Mkoloni, Mwingereza, kile cha Air Wing, Ukonga. Nyerere alijenga Kilimanjaro na wakaendelea kujenga vingine vyote nchini, Magufuli si Mtanzania wa kwanza kujenga uwanja wa ndege.

-----------------------------------------------------------

WHAT'S THE POINT?
Anasema, wakati wote huu inajengwa hiyo miradi toka uhuru, airports, mbuga, reli, mabwawa ya umeme, mabarabara, hakuna Mtanzania aliyenyanyapaliwa, aliyeuawa kwa pressure ya kutishwa, kuhamishwa, kubambikwa kodi, kupigwa, kutiwa kizuizini miaka 5, au kumiminiwa risasi kwa kuhoji miradi au kwa kigezo kwamba nawaletea maendeleo.
SERA hapo ni nini jamani? Au mnalishwa uongo na uzushi usio na kichwa?! Katika hali hiyo hasa kwenye mikutano ya hadhara anybody can say any LIES, hakuna maswali! Sasa hilo la Standard Gauge, ni nini, nayo hiyo ni hoja; ni kweli zipo hizo alizozitaja LAKINI SI ZA UMEME, hiyo ndiyo tofauti! Halafu mtu na akili zake anasema hilo ni kati ya mambo kumi ambayo alikuwa hajayasikia maishani mwake! Kama ni kweli basi tuna safari ndefu sana ya kuelimishana humu JF. Hili ni humu JF je huko kwa wananchi wa kawaida itakuwaje?
 
Back
Top Bottom