Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,917
1. Saa moja asubuhi wamama na wadada wako busy na vidumu vyao kwenda kumwaga mikojo waliyokojoa vyumbani mwao usiku.
2. Maeneo ya jirani na choo huge hugeuzwa kuwa kijiwe cha kupigia umbea, no privacy unawaza hata kwenda chooni.
3. Wamama wana matusi hao balaaa. Siku moja mama mmoja kamwambia mwanae, wewe mbwa nakuita kwanini husikii? Nikaitwa mbwa, mbwa, mbwa, mbwa huku nikipiga na kamluzi. Yule mama akaacha hata kunisalimia.
4. Uswahilini ukiingia na demu mpya ghetto wale wa mama wambea utawasikia wakisema huyu aliyemleta leo mbaaaaaaya bora hata yule wa jana.
5. Ghafla nje ya nyumba mnayoishi jambo anafungua gereji bubu, makelele na mamoshi vinawaishia nyie, serikali ya mtaa wote wako kwenye payroll yake, ukienda kushitaki unajibiwa hiyo anayofanya sio biashara haramu.
6. Wabibi huku kwetu ndio huonekana vigagula, utasikia yule usione aatembelea mkongojo, usiku ana mbio balaaa.
7. Wauza genge na wauza chips ndio wanawala kichizi dada zenu na wake zenu.
8. Michango ya LUKU na maji ni mwanzo wa uadui mpya