Kero za nyumba za kupanga uswahilini

Wakulonga

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
762
772
Habari wana JF! Leo ngoja tuangalie kero mbali mbali kweny nyumba za kupanga uswahilini.

Ukisikia uswahilini kuna vituko ndo huku unakuta mtu mwanaume anaamka amevaa kanga ya mkewe anaenda kuoga huku mnara umesimama si unajua tena asubuhi halafu anapita kwenye korido ambako kuna wamama hii kweli sio tabia nzuri hata kidogo, mwanamke akipika analazimika asubiri hapo hapo la sivyo wenzake wanamuongezea chumvi ili adundwe na mumewe.

Mziki mkubwa ndo zao ukiuliza unaambiwa yupo chumbani kwake na analipia kodi.

Uswahilini kuna vituko hata ukila nyama au wali baba mwenye nyumba anakuja kukumba advance ya kodi ukisema huna anakwambia mbona kila siku unakula nyama.

Sasa mtu unajiuliza muda wa kodi yake babo analazimisha umpe advance hii imekaaje. Wenye nyumba uswahilini mtuvumulie na sisi tuna matatizo kama yenu.

HIVI NI VITUKO USWAHILINI, USWAHILINI KUNA VITUKO
 
Habari wana JF! Leo ngoja tuangalie kero mbali mbali kweny nyumba za kupanga uswahilini. Ukisikia uswahilini kuna vituko ndo huku unakuta mtu mwanaume anaamka amevaa kanga ya mkewe anaenda kuoga huku mnara umesimama si unajua tena asubuhi halafu anapita kwenye koridoo ambako kuna wamama hii kweli sio tabia nzuri hata kidogo, mwanamke akipika analazimika asubiri hapo hapo la sivyo wenzake wanamuongezea chumvi ili adundwe na mumewe. Mziki mkubwa ndo zao ukiuliza unaambiwa yupo chumbani kwake na analipia kodi. Uswahilini kuna vituko hata ukila nyama au wali baba mwenye nyumba anakuja kukumba advance ya kodi ukisema huna anakwambia mbona kila siku unakula nyama. Sasa mtu unajiuliza muda wa kodi yake babo analazimisha umpe advance hii imekaaje. Wenye nyumba uswahilini mtuvumulie na sisi tuna matatizo kama yenu. HIVI NI VITUKO USWAHILINI, USWAHILINI KUNA VITUKO
Uswahili kuna vituko. Miaka hiyoo wakati nikipanga, mama mwenye nyumba na mumewe waliweka utaratibu wao kwamba wao walipowahi wao kufua nguo zao na kuanika kwenye kamba haikuwa ruksa kwa mpangaji kufua had I nguo zao zikauke na wazianue! Uswahilini Keele kuna vituko...!
 
Uswahili kuna vituko. Miaka hiyoo wakati nikipanga, mama mwenye nyumba na mumewe waliweka utaratibu wao kwamba wao walipowahi wao kufua nguo zao na kuanika kwenye kamba haikuwa ruksa kwa mpangaji kufua had I nguo zao zikauke na wazianue! Uswahilini Kweli kuna vituko...!
 
Uswahili kuna vituko. Miaka hiyoo wakati nikipanga, mama mwenye nyumba na mumewe waliweka utaratibu wao kwamba wao walipowahi wao kufua nguo zao na kuanika kwenye kamba haikuwa ruksa kwa mpangaji kufua had I nguo zao zikauke na wazianue! Uswahilini Keele kuna vituko...!
Ebwana we acha tu, choo kimoja watu 30 sasa ukutwe na tumbo la kuhara utakoma
 
Kama kazini ni saa1 inabd kuamka saa kumi maana ukichelewa hiyo foleni yake ni hatareee
 
Audio isikikayo wakitinduana. Kama unasikiliza radio unazima kuongeza usikivu.
 
Nilichofaidi uswahilini ni kuwagegeda watoto wawili wa mama mwenye nyumba na alipojua nimegegeda wanae akaanza kuniita mkwe
 
Hivi ni vituko uswahiliniiii..
Ebwanaweee
Uswahiliniiii kuna vutukoo

Sir Nature
 
Back
Top Bottom