Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama ifuatavyo:-
8d1d83de5cbb7b141ac588ec46a002e9.jpg

1. Simba ni miongoni mwa jamii ya paka wakubwa akiwa ni wapili kwa ukubwa nyuma ya chui.

2. Simba dume katika ‘group’ la simba huwa ndiye wa kwanza kula windo kabla ya wengine kula,tofauti na inavyoelezwa kuwa jike ndiyo huwa wa kwanza.

3. Jina lingine la Simba dume ni Tom, wakati jina la simba jike ni lioness.

4. Kuna aina saba za Simba ambao ni Simba wa kiafrika,simba wa marekani, simba wa milimani, simba weupe, simba wa kiasia na simba aina ya cave.

5. Simba ana uwezo wa kutembea zaidi ya siku nne au tano bila kunywa maji.

6. Familia ya simba inaitwa ‘pride’na inaundwa na dume mmoja na jike mmoja huku watoto wakiwa kuanzia wawili hadi watatu huku miongoni mwa watoto hao mmoja akiwa ni dume.

7. Uzito wa simba kijana ni kati ya pound 330 hadi 500,kwa kawaida simba dume kijana anakuwa mrefu kuliko simba jike kijana.

8. Kwa kawaida Simba hutumia zaidi ya saa 16 hadi 20 kwa ajili ya kulaa na kupumzika kila siku.

9. Endapo katika famila ya Simba,akapatikana dume jipya,dume huyo huwauwa simba wadogo na kuwala.

10. Kiumbe pekee ambacho kinaogopwa na Simba ni binadamu
Mmmh hiyo namba kumi imenichekesha mweee
 
11.Ukichukua panga mkono mmoja ni rahisi kukuvamia kuliko ukachukua mkono kwa kupokezana Mara mkono wa kulia au kushoto.Panga ukichukua mkono mmoja,Simba ni rahisi sana kukuvamia anajua akikuvamia mkono usokuwa na panga mkono wenyepanga utatupa chini ndo itakuwa mwisho wa Nape Nnauye.
 
Kweli simba ni wapili ila wakwanza ni tiger hawa kwa mmoja mkubwa ana kilo takriban 423kg, pound 931 kwa lugha ya kitaalamu anaitwa (Panthera tigris ) wana patikana aiberia ndio largest kind of wild cat ila sio chui chui ni wa 3 sometime anaitwa Jaguar
 
Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama ifuatavyo:-
8d1d83de5cbb7b141ac588ec46a002e9.jpg

1. Simba ni miongoni mwa jamii ya paka wakubwa akiwa ni wapili kwa ukubwa nyuma ya chui.

2. Simba dume katika ‘group’ la simba huwa ndiye wa kwanza kula windo kabla ya wengine kula,tofauti na inavyoelezwa kuwa jike ndiyo huwa wa kwanza.

3. Jina lingine la Simba dume ni Tom, wakati jina la simba jike ni lioness.

4. Kuna aina saba za Simba ambao ni Simba wa kiafrika,simba wa marekani, simba wa milimani, simba weupe, simba wa kiasia na simba aina ya cave.

5. Simba ana uwezo wa kutembea zaidi ya siku nne au tano bila kunywa maji.

6. Familia ya simba inaitwa ‘pride’na inaundwa na dume mmoja na jike mmoja huku watoto wakiwa kuanzia wawili hadi watatu huku miongoni mwa watoto hao mmoja akiwa ni dume.

7. Uzito wa simba kijana ni kati ya pound 330 hadi 500,kwa kawaida simba dume kijana anakuwa mrefu kuliko simba jike kijana.

8. Kwa kawaida Simba hutumia zaidi ya saa 16 hadi 20 kwa ajili ya kulaa na kupumzika kila siku.

9. Endapo katika famila ya Simba,akapatikana dume jipya,dume huyo huwauwa simba wadogo na kuwala.

10. Kiumbe pekee ambacho kinaogopwa na Simba ni binadamu
Da kweli haumjui simba
Simba ni jamii ya paka na ni wa kwanza kwa ukubwa Africa na wa pili kwa ukubwa Duniani.

1.Simba anaitwa kwa kilatin Panthera Leon na jike hua ndio linalowinda lakini dume ndilo la kwanza kula likifuatiwa na jike na watoto baadae.

2. Simba ni miongoni mwa big five na wengine ni tembo, faru, chui na mbogo.

3. Simba anazaa watoto mpaka wa tano baada ya kubeba mimba kwa muda wa siku mia na tano (105 days).

4.Simba ni mnyama ambaye kama kashiba hana aja ya kuwinda ili kujihakikishia uwepo wa chakula muda mwingine.

5.Simba dume linauzito mpaka 150kg wakati jike 120kg na hula mpaka kg 16 za nyama kwa siku.

6 . Simba huishi mpaka miaka 15 japo imekwisha rekodiwa kwa jike kufikisha miaka 20.

7.Kundi la simba ni kweli huitwa pride kama ulivyosema ila hujumuisha simba tofauti tofauti wa size zote kwa ukubwa bali huongozwa na dume moja.

8.Dume la simba likizeeka sana hujitenga na wenzake na kuanza ishi mwenyewe wakati mwingine na wazee wengine hadi mauti.

9.Hadui mkubwa wa simba ni mwanadamu kwa kua ndie humuinda kwa sababu ya valuability ila simba hamwogopi mwanadamu na pia fisi madoa (spoted hyiena) ama crucuta crucuta ambaye huua watoto wadogo wa simba na kuwala.

10.Ni kweli simba hujulikana kama mfalme wa msituni (king of jungle) kwa sababu ya umahiri wake na mlio ambao akiutoa wanyama wengi sana hutetema.

NB :Muda ukitosho wakati mwingine I will bring to you guys very clear description about this kind of cat coz I have enough knowledge about it. Only the matter of time.
 
Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama ifuatavyo:-
8d1d83de5cbb7b141ac588ec46a002e9.jpg

1. Simba ni miongoni mwa jamii ya paka wakubwa akiwa ni wapili kwa ukubwa nyuma ya chui.

2. Simba dume katika ‘group’ la simba huwa ndiye wa kwanza kula windo kabla ya wengine kula,tofauti na inavyoelezwa kuwa jike ndiyo huwa wa kwanza.

3. Jina lingine la Simba dume ni Tom, wakati jina la simba jike ni lioness.

4. Kuna aina saba za Simba ambao ni Simba wa kiafrika,simba wa marekani, simba wa milimani, simba weupe, simba wa kiasia na simba aina ya cave.

5. Simba ana uwezo wa kutembea zaidi ya siku nne au tano bila kunywa maji.

6. Familia ya simba inaitwa ‘pride’na inaundwa na dume mmoja na jike mmoja huku watoto wakiwa kuanzia wawili hadi watatu huku miongoni mwa watoto hao mmoja akiwa ni dume.

7. Uzito wa simba kijana ni kati ya pound 330 hadi 500,kwa kawaida simba dume kijana anakuwa mrefu kuliko simba jike kijana.

8. Kwa kawaida Simba hutumia zaidi ya saa 16 hadi 20 kwa ajili ya kulaa na kupumzika kila siku.

9. Endapo katika famila ya Simba,akapatikana dume jipya,dume huyo huwauwa simba wadogo na kuwala.

10. Kiumbe pekee ambacho kinaogopwa na Simba ni binadamu
Most are just hearsay meaning lies. For example, a pride of lions consist of one dominant male and several lionesses.
 
Mnyama yoyote humuogopa Binadamu in nature.huo ni uumbaji wa MUNGU,viumbe hai vyote humsujudu binadamu maana yeye ndo mwenye akili pana na anaeweza kupanga mashambulizi akishirikiana na binadamu wengine hata kumuua mnyama lakini si mnyama kupanga mashambulizi juu ya binadamu mpaka tu binadamu ajiingize kichwa kichwa na akishambuliwa na mnyama basi ujue mnyama huyo anajihami kufa na kupona
Na nyoka je mi Nyoka hata kumuua siwezi,namuogopa balaa nikimuona akili inafyatuka
 
Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama ifuatavyo:-
8d1d83de5cbb7b141ac588ec46a002e9.jpg

1. Simba ni miongoni mwa jamii ya paka wakubwa akiwa ni wapili kwa ukubwa nyuma ya chui.

2. Simba dume katika ‘group’ la simba huwa ndiye wa kwanza kula windo kabla ya wengine kula,tofauti na inavyoelezwa kuwa jike ndiyo huwa wa kwanza.

3. Jina lingine la Simba dume ni Tom, wakati jina la simba jike ni lioness.

4. Kuna aina saba za Simba ambao ni Simba wa kiafrika,simba wa marekani, simba wa milimani, simba weupe, simba wa kiasia na simba aina ya cave.

5. Simba ana uwezo wa kutembea zaidi ya siku nne au tano bila kunywa maji.

6. Familia ya simba inaitwa ‘pride’na inaundwa na dume mmoja na jike mmoja huku watoto wakiwa kuanzia wawili hadi watatu huku miongoni mwa watoto hao mmoja akiwa ni dume.

7. Uzito wa simba kijana ni kati ya pound 330 hadi 500,kwa kawaida simba dume kijana anakuwa mrefu kuliko simba jike kijana.

8. Kwa kawaida Simba hutumia zaidi ya saa 16 hadi 20 kwa ajili ya kulaa na kupumzika kila siku.

9. Endapo katika famila ya Simba,akapatikana dume jipya,dume huyo huwauwa simba wadogo na kuwala.

10. Kiumbe pekee ambacho kinaogopwa na Simba ni binadamu
Mimi nimeona sifa moja tu hiyo ya 10
 
Back
Top Bottom