Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

Chui mkubwa kuliko Simbaa..???? Au unaongelea mbwa wenu anaitwa simba..
Kama chui kwa kizungu ni Tiger, basi Tiger ni wakubwa aisee wapo Asia sanaa maeneo ya india, ila leopard ambao bado tunawaitaga chui na wanapatikana mbuga zetu hizi Tz ni maboya tuu
 
Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama ifuatavyo:-
8d1d83de5cbb7b141ac588ec46a002e9.jpg

1. Simba ni miongoni mwa jamii ya paka wakubwa akiwa ni wapili kwa ukubwa nyuma ya chui.

2. Simba dume katika ‘group’ la simba huwa ndiye wa kwanza kula windo kabla ya wengine kula,tofauti na inavyoelezwa kuwa jike ndiyo huwa wa kwanza.

3. Jina lingine la Simba dume ni Tom, wakati jina la simba jike ni lioness.

4. Kuna aina saba za Simba ambao ni Simba wa kiafrika,simba wa marekani, simba wa milimani, simba weupe, simba wa kiasia na simba aina ya cave.

5. Simba ana uwezo wa kutembea zaidi ya siku nne au tano bila kunywa maji.

6. Familia ya simba inaitwa ‘pride’na inaundwa na dume mmoja na jike mmoja huku watoto wakiwa kuanzia wawili hadi watatu huku miongoni mwa watoto hao mmoja akiwa ni dume.

7. Uzito wa simba kijana ni kati ya pound 330 hadi 500,kwa kawaida simba dume kijana anakuwa mrefu kuliko simba jike kijana.

8. Kwa kawaida Simba hutumia zaidi ya saa 16 hadi 20 kwa ajili ya kulaa na kupumzika kila siku.

9. Endapo katika famila ya Simba,akapatikana dume jipya,dume huyo huwauwa simba wadogo na kuwala.

10. Kiumbe pekee ambacho kinaogopwa na Simba ni binadamu
Dah! Pita ofisi zozote za Tanapa wakupe vijitabu vya bure ujisomee kuhusu wanyama pori!
 
Chui mkubwa kuliko Simbaa..???? Au unaongelea mbwa wenu anaitwa simba..
Nadhani atakuwa anamaanisha Tiger na sio leopard...kama Tiger yes it's true .. tiger is more powerful than a lion due to high muscularized
 
Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama ifuatavyo:-
8d1d83de5cbb7b141ac588ec46a002e9.jpg

1. Simba ni miongoni mwa jamii ya paka wakubwa akiwa ni wapili kwa ukubwa nyuma ya chui.

2. Simba dume katika ‘group’ la simba huwa ndiye wa kwanza kula windo kabla ya wengine kula,tofauti na inavyoelezwa kuwa jike ndiyo huwa wa kwanza.

3. Jina lingine la Simba dume ni Tom, wakati jina la simba jike ni lioness.

4. Kuna aina saba za Simba ambao ni Simba wa kiafrika,simba wa marekani, simba wa milimani, simba weupe, simba wa kiasia na simba aina ya cave.

5. Simba ana uwezo wa kutembea zaidi ya siku nne au tano bila kunywa maji.

6. Familia ya simba inaitwa ‘pride’na inaundwa na dume mmoja na jike mmoja huku watoto wakiwa kuanzia wawili hadi watatu huku miongoni mwa watoto hao mmoja akiwa ni dume.

7. Uzito wa simba kijana ni kati ya pound 330 hadi 500,kwa kawaida simba dume kijana anakuwa mrefu kuliko simba jike kijana.

8. Kwa kawaida Simba hutumia zaidi ya saa 16 hadi 20 kwa ajili ya kulaa na kupumzika kila siku.

9. Endapo katika famila ya Simba,akapatikana dume jipya,dume huyo huwauwa simba wadogo na kuwala.

10. Kiumbe pekee ambacho kinaogopwa na Simba ni binadamu

1. katika jamii ya paka wakubwa simba ni wa pili huku wa kwanza akiwa ni tiger, chui wa africa ni wa nne na kuna jamii nyingine za chui ni za mwisho kabisa (katika kundi la paka wakubwa) kama snow leopard na clouded leopard.

6. familia ya simba ambayo ni pride inaweza kuundwa na madume zaidi ya mmoja (wanaweza kufika mpaka 7) wakishirikiana majukumu, uhusiano huo unaitwa kitaalam LION COALITION (lion male grouping) na majike mara nyingi wanakuwa wengi kwaajili ya kushirikiana mawindoni. Idadi ya watoto inategemea uzazi, mazingira ya chakula na ulinzi thabiti wa dume/madume.

9. mara nyingi (SI MARA ZOTE) simba dume akichukua tawala mpya huua watoto BILA kuwala kwahiyo wanaishia kuliwa na fisi au ndege (vultures).

10. Kuna tofauti kati ya TO BE CAUTIOUS and TO FEAR yaani kutahadhari na kuogopa (kwa mtiririko huo), simba wanajitahadhari na muingiliano kati yao na binadamu LAKINI SIO KUWAOGOPA binadamu. Unaweza ukahakikisha mwenyewe!
 
simba aogope binadamu? labda kama ni simba wa dar
Mungu ametupa uwezo wa kuogopwa na wanyama wote duniani ila sisi tumekosa uwezo wa kujihami kifikra (confidence ).Wanyama utushambulia kwa kujiami ili tusiwadhuru.Mimi nimesomea elimu ya wanyamapori na ninafanya kazi mpk leo takribani miaka 21,kuna namna nyingi ya kukabiliana na viumbe bila hata kutumia silaha kwa wanyama wote watambaao,watembeao na warukao
 
Namba sita uongo, namba kumi uongo, namba tisa ni kweli lakini simba hawali, anauwaua tu kwaajili asije kupata upinzani wakikuwa wakubwa
Hii ni kweli kabisa jamii nyingi ya Carnivores hawalani kabisa labda ni fisi pekee ambae ana uwezo wa kula hata watoto wake hasa pale anakuona njaa sasa inahatarisha maisha yake ufyeka mtoto mmoja mmoja baada ya mwingine mpk atakapopata mbadala wa kitoweo kingine.Simba anaweza kuua watoto madume wa pride nyingine kwa kuhofia mapinduzi huko mbeleni lakini hawezi kula mizoga hiyo.Na pia akikutana na watoto wengine wa cats wengine km hawana ulinzi atawanyonga lkn hatowala
 
Back
Top Bottom