Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,743
25,535
Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama ifuatavyo:-
8d1d83de5cbb7b141ac588ec46a002e9.jpg


1. Simba ni miongoni mwa jamii ya paka wakubwa akiwa ni wapili kwa ukubwa nyuma ya chui.

2. Simba dume katika ‘group’ la simba huwa ndiye wa kwanza kula windo kabla ya wengine kula,tofauti na inavyoelezwa kuwa jike ndiyo huwa wa kwanza.

3. Jina lingine la Simba dume ni Tom, wakati jina la simba jike ni lioness.

4. Kuna aina saba za Simba ambao ni Simba wa kiafrika,simba wa marekani, simba wa milimani, simba weupe, simba wa kiasia na simba aina ya cave.

5. Simba ana uwezo wa kutembea zaidi ya siku nne au tano bila kunywa maji.

6. Familia ya simba inaitwa ‘pride’na inaundwa na dume mmoja na jike mmoja huku watoto wakiwa kuanzia wawili hadi watatu huku miongoni mwa watoto hao mmoja akiwa ni dume.

7. Uzito wa simba kijana ni kati ya pound 330 hadi 500,kwa kawaida simba dume kijana anakuwa mrefu kuliko simba jike kijana.

8. Kwa kawaida Simba hutumia zaidi ya saa 16 hadi 20 kwa ajili ya kulaa na kupumzika kila siku.

9. Endapo katika famila ya Simba,akapatikana dume jipya,dume huyo huwauwa simba wadogo na kuwala.

10. Kiumbe pekee ambacho kinaogopwa na Simba ni binadamu
 
simba aogope binadamu? labda kama ni simba wa dar
Mnyama yoyote humuogopa Binadamu in nature.huo ni uumbaji wa MUNGU,viumbe hai vyote humsujudu binadamu maana yeye ndo mwenye akili pana na anaeweza kupanga mashambulizi akishirikiana na binadamu wengine hata kumuua mnyama lakini si mnyama kupanga mashambulizi juu ya binadamu mpaka tu binadamu ajiingize kichwa kichwa na akishambuliwa na mnyama basi ujue mnyama huyo anajihami kufa na kupona
 
Mnyama yoyote humuogopa Binadamu in nature.huo ni uumbaji wa MUNGU,viumbe hai vyote humsujudu binadamu maana yeye ndo mwenye akili pana na anaeweza kupanga mashambulizi akishirikiana na binadamu wengine hata kumuua mnyama lakini si mnyama kupanga mashambulizi juu ya binadamu mpaka tu binadamu ajiingize kichwa kichwa na akishambuliwa na mnyama basi ujue mnyama huyo anajihami kufa na kupona
Ni kweli kabisa wanyama karibu wote wanamuogopa binadamu,ili ieleweke kirahisi labda tuseme mnyama pekee simba anaye MUHOFIA ni binadamu .
 
Ni kweli Simba humuogopa binadamu, lakini huweza kumshambulia kwa kusmell uoga wa binadamu! ndio kwa kawaida binadamu ana hormone zinaitwa felomoni, ukiwa na uoga homoni hizi hutoa smell ambayo huweza kuinusa, na akajua unamuoga na hapo huweza kushambulia. Jambo jingine kuhusu Simba ni kuwa unaweza kuwatofautisha Simba mmoja na mwingine kwa kutumia mistari ya vitundu ambayo sharubu zao hutokea, hizi ziko arranged tofauti kwa kila Simba, na pia unaweza kukadilia umri wa Simba kwa kuangalia "u pink" katika pua zao! na kwa dume kadri "mane" inavyokuwa nyeusi ndio umri unaongezeka! na mwisho Simba jike ndie muwindaji mkubwa kwenye pride!
 
Back
Top Bottom