Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama ifuatavyo:-
8d1d83de5cbb7b141ac588ec46a002e9.jpg

1. Simba ni miongoni mwa jamii ya paka wakubwa akiwa ni wapili kwa ukubwa nyuma ya chui.

2. Simba dume katika ‘group’ la simba huwa ndiye wa kwanza kula windo kabla ya wengine kula,tofauti na inavyoelezwa kuwa jike ndiyo huwa wa kwanza.

3. Jina lingine la Simba dume ni Tom, wakati jina la simba jike ni lioness.

4. Kuna aina saba za Simba ambao ni Simba wa kiafrika,simba wa marekani, simba wa milimani, simba weupe, simba wa kiasia na simba aina ya cave.

5. Simba ana uwezo wa kutembea zaidi ya siku nne au tano bila kunywa maji.

6. Familia ya simba inaitwa ‘pride’na inaundwa na dume mmoja na jike mmoja huku watoto wakiwa kuanzia wawili hadi watatu huku miongoni mwa watoto hao mmoja akiwa ni dume.

7. Uzito wa simba kijana ni kati ya pound 330 hadi 500,kwa kawaida simba dume kijana anakuwa mrefu kuliko simba jike kijana.

8. Kwa kawaida Simba hutumia zaidi ya saa 16 hadi 20 kwa ajili ya kulaa na kupumzika kila siku.

9. Endapo katika famila ya Simba,akapatikana dume jipya,dume huyo huwauwa simba wadogo na kuwala.

10. Kiumbe pekee ambacho kinaogopwa na Simba ni binadamu

Kuna fact zako sio kweli
1. Chui ( leopard) sio mkubwa kuliko Simba...
2. Sio kweli pride Ina jike moja na dume moja tu ...pride inaundwa na "sisters" wengi tu hata 4-6 na kuendelea...na kunakuwa na dume moja au wawili ambao ni " brothers" ambao wanamiliki hiyo pride
 
Huwa nashindwa kuelewa kwanini Fisi hata wakiwa 2O wakimuona Simba Dume wanakimbia sana na kuhofu mbaya
 
Kweli simba ni wapili ila wakwanza ni tiger hawa kwa mmoja mkubwa ana kilo takriban 423kg, pound 931 kwa lugha ya kitaalamu anaitwa (Panthera tigris ) wana patikana aiberia ndio largest kind of wild cat ila sio chui chui ni wa 3 sometime anaitwa Jaguar
Hawa wananichanganya sana, Tyger, Jaguar, Leopard, Cheetah
 
Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama ifuatavyo:-
8d1d83de5cbb7b141ac588ec46a002e9.jpg

1. Simba ni miongoni mwa jamii ya paka wakubwa akiwa ni wapili kwa ukubwa nyuma ya chui.

2. Simba dume katika ‘group’ la simba huwa ndiye wa kwanza kula windo kabla ya wengine kula,tofauti na inavyoelezwa kuwa jike ndiyo huwa wa kwanza.

3. Jina lingine la Simba dume ni Tom, wakati jina la simba jike ni lioness.

4. Kuna aina saba za Simba ambao ni Simba wa kiafrika,simba wa marekani, simba wa milimani, simba weupe, simba wa kiasia na simba aina ya cave.

5. Simba ana uwezo wa kutembea zaidi ya siku nne au tano bila kunywa maji.

6. Familia ya simba inaitwa ‘pride’na inaundwa na dume mmoja na jike mmoja huku watoto wakiwa kuanzia wawili hadi watatu huku miongoni mwa watoto hao mmoja akiwa ni dume.

7. Uzito wa simba kijana ni kati ya pound 330 hadi 500,kwa kawaida simba dume kijana anakuwa mrefu kuliko simba jike kijana.

8. Kwa kawaida Simba hutumia zaidi ya saa 16 hadi 20 kwa ajili ya kulaa na kupumzika kila siku.

9. Endapo katika famila ya Simba,akapatikana dume jipya,dume huyo huwauwa simba wadogo na kuwala.

10. Kiumbe pekee ambacho kinaogopwa na Simba ni binadamu
Viumbe wote wawindaji wana macho mbele ya nyso zao na hii ni ili kumsaidia kupiga hesabu za windo lake, binadamu ni mnyama muwindaji pia. Ndo mana ana macho mbele ya sura, tazama mamba, chui, simba, paka, bundi nk. Pia wanyama wawindaji wana macho pembeni ya sura ili kumuwezesha kuona hata nyuma wakati ya kunywa maji nk, mfano chui hukamatwa na mamba akinywa maji lakini nadra sana kukuta swala kadakwa na mamba akiwa anakunywa maji. Hesabu kutoka katika macho. Hivi ni kweli simba anamuogopa binadamu tena sana kutokana wote ni wawindaji
 
Hawa wananichanganya sana, Tyger, Jaguar, Leopard, Cheetah
Tiger ni wale wa India, Tanzania hakuna.

Jaguar wapo America huko Amazon

Leopard wapo Tanzania madowa yake kama zile nguo za Mobutu.

Cheetah wapo Tanzania ndio mnyama mwwnye speed kuliko mnyama yeyote duniani.

Ukitaka kugunduwa kwa urahisi tofauti ya Cheetah na Leopard ni kwamba Cheetah au Duma ana umbo dogo na usoni ana mistari myeusi miwili.
 
Ukiingia miziki ya simba ukitoka lazima basi ukatambike
 
Back
Top Bottom