Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

MLETA MADA NAONA UMEPEPESA SANA,,,,POLE SANA,,,,,

SIMBA DUME DAIMA HAWEZI WASAU WATOTO WAKE MILELE,KAMA AKIPOTEZANA NAO DAIMA SIKU WAKIKUTANA BASI HUFURAHIA SANA KWA PAMOJA,NA HATA IKITOKEA TATIZO BASI HUWASAIDIA.
MLETA MADA UNANUSA NUSA TU,,,,,,,,,,KUNA MENGI YANAYOHUSU SIMBA,
UKIKUTANA NA SIMBA USIMKIMBIE,,MFATE ANAKOTOKEA MKUTANE FACE TO FACE,NA AKIONA UNAMFATA DIRECT BASI ATAPATA WASWAS NA KUKIMBIA,ILA UKIMWONA NA UKATIMUA JUA NYUMA YAKO ANAKUFATA,
FEAR CAN CONTROL LION MIND,.....
UKITAKA MENGI NI CC NIKUPE VITU...
 
Juz nangalia Ile Geowild bac fisi 7 wamemtaiti simba wee simba kakimbia kapanda juu ya mti....fisi wakabeba nyama wakakimbia...kumbe simba nae akitaitiwa anakmbia...kuna siku napo simba kakutana na Nyoka yule swira anayerusha sumu aina ya black mamba...ebhana simba dume hilo likaa mungurumia nyoka akatupa sumu simba kainama ...nyoka akarusha tena mmh simba kaona hapa pabaya kakimbia zake......lkn kuna day simba bhana wa 4 wakaenda makazi ya fisi...fisi hao wawil walkuwa na watoto wao walipoona simba kwa mbal wanakuja wakawafukia watoto wao kwenye mashimo yao juu wakafukoa fresh...daah nkashangaa mtoto anafukiwa chini na hafi.....simba wakaja wakanusha nusha wakafukua shimo la kwanza kweupe la pil wakakuta mtoto mmoja wakambeba wamuua....shimo jengne wakakuta wawil wakala....wale fisi mke na mume wakawa kwa mbal wanatazama watoto wao wanaliwa...dah wakatia huruma kwel hawana la kufanya
 
Hii habari imeghushi vyeti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaah
 
Mnyama yoyote humuogopa Binadamu in nature.huo ni uumbaji wa MUNGU,viumbe hai vyote humsujudu binadamu maana yeye ndo mwenye akili pana na anaeweza kupanga mashambulizi akishirikiana na binadamu wengine hata kumuua mnyama lakini si mnyama kupanga mashambulizi juu ya binadamu mpaka tu binadamu ajiingize kichwa kichwa na akishambuliwa na mnyama basi ujue mnyama huyo anajihami kufa na kupona
Pia mwanadamu ana uwezo wa kum control mind yake na kumfanya atakavyo! Intelligence ya binadamu ni kiboko when it is utilized correctly!
 
Chui mkubwa kuliko Simbaa..???? Au unaongelea mbwa wenu anaitwa simba..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa duh..
 
Back
Top Bottom